Wamiliki wa Manchester United wametaja kiasi

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Wamiliki wa Manchester United wametaja kiasi ambacho wanakitaka kwa mnunuzi wa klabu hiyo ambayo wameiweka sokoni kupitia banks za nchini England.

The Glazers wanataka kiasi kisichopungua paundi BILIONI 6 sawa na dollars bilions 7.27 za kimarekani. Hii ni sawa na trillion 16.6 za Tsh.
26379201-3ea4-4251-a8bc-9c57536dbc41.jpeg