Wamiliki wa Manchester United wametaja kiasi ambacho wanakitaka kwa mnunuzi wa klabu hiyo ambayo wameiweka sokoni kupitia banks za nchini England.
The Glazers wanataka kiasi kisichopungua paundi BILIONI 6 sawa na dollars bilions 7.27 za kimarekani. Hii ni sawa na trillion 16.6 za Tsh.
