Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KOCHA wa Makipa wa Simba Dani Cadena ametoa ushauri kwa Viongozi wa klabu hiyo. kwamba ili timu hiyo ibadilike inapaswa kuajiri watu wenye uzoefu, bila kuangalia majina yao, na leseni pekee.

Cadena ambaye hivi karibuni alionekana kuanza utaratibu wa kuwaaga mashabiki kwenye mechi za mwishoni, akiwapatia vifaa vyake, inaelezwa kwamba hana mpango wa kuendelea kusalia Simba endapo hakutafanyika mabadiliko.

Cadena alisema kwamba; “Viongozi waondoe watu wengi sio mimi tu bali kila mtu asiyekuwa na uwezo, Simba inahitaji watu wenye taaluma, uwezo mkubwa na uzoefu, sio tu kwa watu wenye majina makubwa, leseni au katoka eneo gani sio hivyo”

Hata hivyo pia kcha huyo wa Makipa alielezea jinsi ambavyo alikataza golikipa wa klabu hiyo Aishi Manula asicheze mchezo wa dabi, kwa sababu alikuwa hajapona vizuri, lakini kocha Mkuu wa kipindi hicho Robertinho akamtaka acheze hiyo mechi, ambayo Simba iliambulia kipigo cha aibu kutoka kwa watani zao 1-5.

“Siku mbili kabla ya mechi, katika kikao na viongozi wa bodi hakuna hata mmoja aliyeniuliza kuhusu hali ya utimamu wa mwili wa Aishi Manula, lakini Robertinho alisema Aishi Manula yuko fiti atacheza”

“Baadae nilienda kuongea na Manula nikamwambia mechi ya Kesho kama unataka kucheza utacheza, lakini najua haupo fiti, mimi ni kocha najua wachezaji wangu, lakini sikushauri acheze kwa sababu nilijua kitakachotokea, na kweli baada ya mechi tulipoteza kwa 1-5.

Ifahamike kwamba Mkataba wa Dani Cadena Simba unamalizika Juni 30, na hana mipango ya kuongeza mkataba mwingine hadi pale mabadiliko yatakapofanyika ndani ya klabu hiyo.

[QUOTE="Bakari, post: 4981, member: 2316"] KOCHA wa Makipa wa Simba Dani Cadena ametoa ushauri kwa Viongozi wa klabu hiyo. kwamba ili timu hiyo ibadilike inapaswa kuajiri watu wenye uzoefu, bila kuangalia majina yao, na leseni pekee. Cadena ambaye hivi karibuni alionekana kuanza utaratibu wa kuwaaga mashabiki kwenye mechi za mwishoni, akiwapatia vifaa vyake, inaelezwa kwamba hana mpango wa kuendelea kusalia Simba endapo hakutafanyika mabadiliko. Cadena alisema kwamba; “Viongozi waondoe watu wengi sio mimi tu bali kila mtu asiyekuwa na uwezo, Simba inahitaji watu wenye taaluma, uwezo mkubwa na uzoefu, sio tu kwa watu wenye majina makubwa, leseni au katoka eneo gani sio hivyo” Hata hivyo pia kcha huyo wa Makipa alielezea jinsi ambavyo alikataza golikipa wa klabu hiyo Aishi Manula asicheze mchezo wa dabi, kwa sababu alikuwa hajapona vizuri, lakini kocha Mkuu wa kipindi hicho Robertinho akamtaka acheze hiyo mechi, ambayo Simba iliambulia kipigo cha aibu kutoka kwa watani zao 1-5. “Siku mbili kabla ya mechi, katika kikao na viongozi wa bodi hakuna hata mmoja aliyeniuliza kuhusu hali ya utimamu wa mwili wa Aishi Manula, lakini Robertinho alisema Aishi Manula yuko fiti atacheza” “Baadae nilienda kuongea na Manula nikamwambia mechi ya Kesho kama unataka kucheza utacheza, lakini najua haupo fiti, mimi ni kocha najua wachezaji wangu, lakini sikushauri acheze kwa sababu nilijua kitakachotokea, na kweli baada ya mechi tulipoteza kwa 1-5. Ifahamike kwamba Mkataba wa Dani Cadena Simba unamalizika Juni 30, na hana mipango ya kuongeza mkataba mwingine hadi pale mabadiliko yatakapofanyika ndani ya klabu hiyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?
Top
Bottom