Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.

Timu kama

Mashujaa Fc

Pamba

Prison

Jkt

Singida black stars

Fountain gate

Tabora Fc

Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.

Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.

Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,

Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani

Hazibutui hovyo hovyo.

Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.

Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.

Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.

Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.

Mtanielewa baadae.

Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.

Mtanielewa baadae

[QUOTE="Hammy36, post: 10493, member: 617"] Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama [LIST] [*]Mashujaa Fc [*]Pamba [*]Prison [*]Jkt [*]Singida black stars [*]Fountain gate [/LIST] Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema. Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa. Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie, Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani Hazibutui hovyo hovyo. Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu. Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana. Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi. Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha. Mtanielewa baadae. Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu. Mtanielewa baadae [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu
Top
Bottom