Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!

Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.
#HK #Fighter #NjeYaBox
 
S_am

Mgeni
Jun 9, 2024
1
2
5
Tunahitaji sana watu kama awa(kigwangala) maana kwa macho ya kawaida huwezi ona yanayoendelea nyuma ya pazia ila kwa aya machache aliosema jamaa kuna hujuma nyingi zinafanyika ndani ya hii club yetu asee🙌🏾
 
UniqueTravis

Mgeni
Jun 9, 2024
1
1
5
Mimi ni yanga lakini,kwa kinachoendelea upande wa pili zinahitajika hatua za haraka,na ukizingatia Club inatakiwa kujiandaa na usajili,endapo itaendelea hivi basi msimu ujao Lion anaweza shika hata nafasi ya nne mpaka msimu unaisha au kushuka hata daraja.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Sonco Cheol

Mgeni
May 15, 2024
14
6
5
I have a feeling this is not good.!
Also intention yake I don't see kama iko na positive vibe kama venye ametry kushawishi... Mh I doubt 🤷
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

heisdee01

Mgeni
Jun 9, 2024
2
1
5
Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!

Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.
#HK #Fighter #NjeYaBox
Mimi kama Yanga nafurahiaa mnavyotesekaa naomba bwana Midi asiachiee team😂👍
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

jiggah

Mgeni
Jun 9, 2024
1
1
5
Watanzania wengi hatuna elimu ya uchumi na fedha, vitu vinavyoifelisha simba ni Mo,na uongozi wa simba, yani timu ilitakiwa iwe na kiongozi mkubwa mmoja tu, ila simba mala mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi, mwenyekiti wa wanachama,raisi wa heshima sasa kati ya hao watatu hajulikani mkubwa nani na majukumu ya rais wa heshima hayajawekwa bayana yeye kila sehemu anataka aingie kam ndo kiongozi mkuu wa simba, Ilibid timu iwe na kiongozi mmoja tu na wasaidizi wake kuhusu hisa inabid zitengenezewe kampuni ya kusimamia tena kampuni iwe chini ya simba na mkurugenzi wa hisa inabid awe kiongozi mkuu wa club 49% ya hisa wazigawe kwa zaidi ya mtu mmoja ili kuepuka mwanahisa kujiona ni mliki pekee wa club.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

iddi

Mgeni
Jun 9, 2024
4
2
5
Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!

Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.
#HK #Fighter #NjeYaBox
Kaka me sikupingi lazima tuipambaniee simba yetu. BRAVO
 
Simba.fan.tz

Mgeni
Jun 9, 2024
1
1
5
Kwanza ningependa kumshukuru mama samia😂💔
Alafu Simba wasuluhishe haya masuala mapema tusajili kikosi kingine na kiwe cha vijana☑️
Simba #nguvu moja
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

FUNGO JR

Mgeni
May 18, 2024
12
3

🤷 Kubwa kuliko
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Mashabiki pekee wenye uamuzi ni wa Yanga tangu iyo miaka tukiona hatuelewi tunakuomdoa kwa nguvu utuachie klabu yetu,Wana simba wanamuona Mo kama Mungu,walipumbazwa na matokeo ya uwanjani wakasahau mchakato, mpira now ni business na brand yenu ni kubwa akisema hata sasa hivi haitaki Simba mtaona wawekezaji watakavyokuja,ni wakati wa kufanya maamuzi,ukitoa ushabiki wa Usimba na Uyanga tunatamani timu zote ziwe imara ivyo wanasimba fanyeni maamuzi magumu na muhimu.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
May 17, 2024
6
1
5
Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!

Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.
#HK #Fighte

Shida timu ikifanya vzr izi walaka hatuzioni timu ikiyumba kila mmoja ni mwanasheria wa simba
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Sekula Issa

Mgeni
May 31, 2024
2
2
5
Kwa mtu mwenye ueledi angejaribu na kuorodhesha hata gharama Mo ame incur kuiendesha timu wakati wote yuko na timu.

Nadhani hii ni mihemko tu na upepo wa kuweka vitu sawa, Mo tangia amejiweka pembeni kiutendaji mambo yameenda kombo sana na ni 100% hawa viongozi ndio wameleta hii shida na wanajua nin kitafuatia baada ya kutoka kwenye viti vyao. Kuna mambo mengi sana wanayaficha ma wako responsible. Busara ninayoijua mm mtu akiharibu kujiuzuru ni jambo zuri ili kuachia wengine waendeleze gurudumu.

Kuna madudu mengi sana tutayasikia lakin mpk viongoz walioko madarakan waondoke kama Mo anavyotaka.

Naomba kuwasilisha.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni