Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wasemaji Simba Na Yanga Punguzeni Komedi, Mnaboa Watu Wazima
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="DeviMitupio" data-source="post: 7377" data-attributes="member: 2312"><p>Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!</p><p></p><p>Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="DeviMitupio, post: 7377, member: 2312"] Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa! Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wasemaji Simba Na Yanga Punguzeni Komedi, Mnaboa Watu Wazima
Top
Bottom