WATU WENGI WANAJIULIZA DAKIKA WORLD CUP MBONA NYINGI ?

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
"Hii sasa ndio inaenda kwa haki, ni computerized sio ya refa kusimamisha Muda, refa anapewa taarifa toka nje.

Sasa ndio dunia inaenda katika usahihi, ule sio Muda wa nyongeza, ni Muda wa kufidia Muda uliopotea, tena pale juu sasa hivi hawaandiki tena dk ya 98 sijui, tuliishi ktk upotofu kwa miaka nenda rudi, ikifika dk ya 90 zinabaki hivyo ila kwa chini wanaandika dakika za kufidia na zinavyoisha.

Nimependa sana nilikuwa nawaza hivi miaka nenda rudi nashukuru imetokea Leo.

Technology inatumika sana kwenye hii world cup,
Kuna wazo lingine ninalo sana miaka nenda rudi naamini litakuja kutokea kwenye soka hata kama itachukua miaka 50 kuja kutokea.

Natamani kwenye soka kuwe na knock out kama ya kwenye ndondi.

Matokeo yanapofikia 5-0 difference game iishe hapo hapo na kama ni kwenye ligi points ziwe 5 .Na ikiwezekana team inayofungwa kwa five goals difference ikatwe two points.

Ushindani uwanjani utakuwa mkubwa sana hususani team ikishapigwa bao 3"

Tafakari hili wazo ( MS CHIZENGA)
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124

hii tungeenda nayo mpaka kwenye ligi