Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
WATU WENGI WANAJIULIZA DAKIKA WORLD CUP MBONA NYINGI ?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

"Hii sasa ndio inaenda kwa haki, ni computerized sio ya refa kusimamisha Muda, refa anapewa taarifa toka nje.

Sasa ndio dunia inaenda katika usahihi, ule sio Muda wa nyongeza, ni Muda wa kufidia Muda uliopotea, tena pale juu sasa hivi hawaandiki tena dk ya 98 sijui, tuliishi ktk upotofu kwa miaka nenda rudi, ikifika dk ya 90 zinabaki hivyo ila kwa chini wanaandika dakika za kufidia na zinavyoisha.

Nimependa sana nilikuwa nawaza hivi miaka nenda rudi nashukuru imetokea Leo.

Technology inatumika sana kwenye hii world cup,

Kuna wazo lingine ninalo sana miaka nenda rudi naamini litakuja kutokea kwenye soka hata kama itachukua miaka 50 kuja kutokea.

Natamani kwenye soka kuwe na knock out kama ya kwenye ndondi.

Matokeo yanapofikia 5-0 difference game iishe hapo hapo na kama ni kwenye ligi points ziwe 5 .Na ikiwezekana team inayofungwa kwa five goals difference ikatwe two points.

Ushindani uwanjani utakuwa mkubwa sana hususani team ikishapigwa bao 3"

Tafakari hili wazo ( MS CHIZENGA)

[QUOTE="Lukac, post: 1837, member: 472"] "Hii sasa ndio inaenda kwa haki, ni computerized sio ya refa kusimamisha Muda, refa anapewa taarifa toka nje. Sasa ndio dunia inaenda katika usahihi, ule sio Muda wa nyongeza, ni Muda wa kufidia Muda uliopotea, tena pale juu sasa hivi hawaandiki tena dk ya 98 sijui, tuliishi ktk upotofu kwa miaka nenda rudi, ikifika dk ya 90 zinabaki hivyo ila kwa chini wanaandika dakika za kufidia na zinavyoisha. Nimependa sana nilikuwa nawaza hivi miaka nenda rudi nashukuru imetokea Leo. Technology inatumika sana kwenye hii world cup, Kuna wazo lingine ninalo sana miaka nenda rudi naamini litakuja kutokea kwenye soka hata kama itachukua miaka 50 kuja kutokea. Natamani kwenye soka kuwe na knock out kama ya kwenye ndondi. Matokeo yanapofikia 5-0 difference game iishe hapo hapo na kama ni kwenye ligi points ziwe 5 .Na ikiwezekana team inayofungwa kwa five goals difference ikatwe two points. Ushindani uwanjani utakuwa mkubwa sana hususani team ikishapigwa bao 3" Tafakari hili wazo ( MS CHIZENGA) [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
WATU WENGI WANAJIULIZA DAKIKA WORLD CUP MBONA NYINGI ?
Top
Bottom