"Amefanya mahojiano na yameenea kimataifa, Ni ajabu baadhi ya maoni lakini nina uhakika Manchester United watayashughulikia mara watakapoona mahojiano kamili na kuchukua hatua zozote wanazohitaji kuchukua."
"Ronaldo ni mchezaji mzuri. Yeye na Messi labda ndio wachezaji wawili bora kucheza mchezo huu. Sio kama anakosolewa, nilichosema ni swala la umri ambalo linatukuta sote, Cristiano anapata ugumu kukabiliana na hilo.