Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji.

Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex langoni alianza mwamba Ayoub Lakred.

Inatajwa kuwa Simba inahitaji kupata mshambuliaji wa kazi ambaye atakuwa mzawa akishirikiana na wengine ambao watakuja kwenye dirisha la usajili ambalo lilifunguliwa Juni 15 2024. Anatosha Kurejesha Makali Ya Simba Msimu Ujao?

[QUOTE="Mshua, post: 5529, member: 2315"] WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji. Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex langoni alianza mwamba Ayoub Lakred. Inatajwa kuwa Simba inahitaji kupata mshambuliaji wa kazi ambaye atakuwa mzawa akishirikiana na wengine ambao watakuja kwenye dirisha la usajili ambalo lilifunguliwa Juni 15 2024. Anatosha Kurejesha Makali Ya Simba Msimu Ujao? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa
Top
Bottom