WAZIRI AWAPONGEZA TANZANITE KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amekutana na wachezaji wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite kwa kufuzu Raundi ya Tatu ya kufuzu Kombe la Dunia mwakani.
Tanzanite imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kushinda 3-2 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam kabla ya sare ya 1-1 Bujumbura Jumapili na sasa itamenyana na Ethiopia katika Raundi ya Tatu.
 

Attachments

  • tanzanite.PNG
    tanzanite.PNG
    431 KB · Somwa: 0