Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yaliyomkuta Manji Yataenda Kumkuta MO Pale Simba?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Mo naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi.

Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu.

Timu za Simba na Yanga ni machinery za nchi utapewa na kuzitumia kwa muda. Ukizingua wanakuchomoa.

Tayari tumeshaanza kuona adverts zikionesha uelekeo wa timu. Huku Mo naye akiwa amekaza kwa upande wake. Bwana Mo alijaribu kuanzisha timu inayoitwa African Lyons lakini alikwama.

Yale yaliyomkuta Manji yanaenda kutokea huku Simba. Mangungu yupo pale kwa special mission. Tayari mission imeshasukwa na kukamilika. Mo kawekwa kwenye target.

Hamtaamini macho yenu. Yule tajiri kijana Africa ataporomoshwa ghafla. Ataanza kudaiwa madeni. Atapelekwa mahakamani, kesi nyingi zitaanza kuunguruma. Ataanza kukimbia huku na huku. Ile mbinu yake ya kujiteka haita faa tena.

Barbra Gonzalez hayupo upande wa Mo tena. Jaribu tena hayupo upande wa Glezabhai tena. Mpango umesukwa na ukakubali.

Siku ya mkutano wa simba, watakuja wanasimba ambao wamepitia semina elekezi. Mission itakamilika. And new wawekezaji watajitokeza. Na kazi itasonga mbele.

[QUOTE="Mshua, post: 5096, member: 2315"] Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Mo naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi. Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu. Timu za Simba na Yanga ni machinery za nchi utapewa na kuzitumia kwa muda. Ukizingua wanakuchomoa. Tayari tumeshaanza kuona adverts zikionesha uelekeo wa timu. Huku Mo naye akiwa amekaza kwa upande wake. Bwana Mo alijaribu kuanzisha timu inayoitwa African Lyons lakini alikwama. Yale yaliyomkuta Manji yanaenda kutokea huku Simba. Mangungu yupo pale kwa special mission. Tayari mission imeshasukwa na kukamilika. Mo kawekwa kwenye target. Hamtaamini macho yenu. Yule tajiri kijana Africa ataporomoshwa ghafla. Ataanza kudaiwa madeni. Atapelekwa mahakamani, kesi nyingi zitaanza kuunguruma. Ataanza kukimbia huku na huku. Ile mbinu yake ya kujiteka haita faa tena. Barbra Gonzalez hayupo upande wa Mo tena. Jaribu tena hayupo upande wa Glezabhai tena. Mpango umesukwa na ukakubali. Siku ya mkutano wa simba, watakuja wanasimba ambao wamepitia semina elekezi. Mission itakamilika. And new wawekezaji watajitokeza. Na kazi itasonga mbele. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yaliyomkuta Manji Yataenda Kumkuta MO Pale Simba?
Top
Bottom