Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
YANGA HAWASHIKIKI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga yaikalisha Coastal Union

Magoli mawili yaliyofungwa na Fiston Mayele yameiwezesha Yanga kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC.

Mayele amefunga magoli hayo katika dakika za

39 na 48 na kufikisha magoli 13 msimu huu akiwa mfungaji bora mpaka sasa akifuatiwa na Moses Phiri mwenye magoli 10.

Goli lingine la Yanga lilifungwa na Feisal Salum dakika ya 66.

Yanga SC imeongeza wigo wa alama 7 kati yake na Simba SC iliyopo nafasi ya pili yenye mchezo mmoja mkononi.

Coastal Union inasalia nafasi ya 13 alama 15 baada ya mechi 17.[ATTACH=full]893[/ATTACH]

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2359, member: 572"] Yanga yaikalisha Coastal Union Magoli mawili yaliyofungwa na Fiston Mayele yameiwezesha Yanga kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC. Mayele amefunga magoli hayo katika dakika za 39 na 48 na kufikisha magoli 13 msimu huu akiwa mfungaji bora mpaka sasa akifuatiwa na Moses Phiri mwenye magoli 10. Goli lingine la Yanga lilifungwa na Feisal Salum dakika ya 66. Yanga SC imeongeza wigo wa alama 7 kati yake na Simba SC iliyopo nafasi ya pili yenye mchezo mmoja mkononi. Coastal Union inasalia nafasi ya 13 alama 15 baada ya mechi 17.[ATTACH type="full"]893[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
YANGA HAWASHIKIKI.
Top
Bottom