Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga ilijua cha kufanya dhidi ya TP Mazembe
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga ilijua cha kufanya dhidi ya TP Mazembe.

Kocha wa Yanga Prof. Nasreddine Nabi anastahili pongezi nyingi, first eleven yake ya mechi ya jana dhidi ya TP Mazembe, ilikuwa ni first eleven ambayo iko well balanced, na timu ilikuwa ikicheza kwa kuelewana sana, na kila mchezaji alifanya kazi yake ipasavyo,

Lakini si vibaya kusema kwamba Yahya Mudathir alikuwa ndio mwiba kwa TP Mazembe siku ya jana, aliwamudu sana akiwa anashambulia na akiwa anazuia, he was absolutely superb kwenye muda wote wa dakika 67 alizocheza.

Team spirit ilikuwa juu sana, bila shaka wakienda nayo hivi, wanaweza kumaliza hatua ya makundi vizuri hata kama sio kufuzu kwenye next stage.

[ATTACH=full]1247[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3384, member: 464"] Yanga ilijua cha kufanya dhidi ya TP Mazembe. Kocha wa Yanga Prof. Nasreddine Nabi anastahili pongezi nyingi, first eleven yake ya mechi ya jana dhidi ya TP Mazembe, ilikuwa ni first eleven ambayo iko well balanced, na timu ilikuwa ikicheza kwa kuelewana sana, na kila mchezaji alifanya kazi yake ipasavyo, Lakini si vibaya kusema kwamba Yahya Mudathir alikuwa ndio mwiba kwa TP Mazembe siku ya jana, aliwamudu sana akiwa anashambulia na akiwa anazuia, he was absolutely superb kwenye muda wote wa dakika 67 alizocheza. Team spirit ilikuwa juu sana, bila shaka wakienda nayo hivi, wanaweza kumaliza hatua ya makundi vizuri hata kama sio kufuzu kwenye next stage. [ATTACH type="full"]1247[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga ilijua cha kufanya dhidi ya TP Mazembe
Top
Bottom