Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga wanashida kwenye match ya 3 sasa ila ushindi wake unatafutwa kwa shida kama wanacheza na timu ngumu lakini ni hizi hizi timu za ndani shida ni nini na usajili umefanyika, Winga zote hazimwagi maji Kwa Musonda na Mayele inabidi washuke chini sana kufata mipira.

Kuna kitu Yanga wanakikosa viungo wa pasi za mwisho kwa washambuliaji, winga zenye za kisasa Kocha anaona hili wanapaswa kuingia tena sokoni msimu ujao timu inamapungufu bado.

Kwanza kabisa winga wa pembeni hakuna, Kisinda na Moloko sio wachezaji wa kucheza Yanga wanaenda kimataifa zitapatikana nafasi moja au mbili tu za kupata ushindi, unadhani kisinda au moloko atatupatia goli? Kama Moloko hakuna mchezaji pale siku zote huwa nasema nimchezaji wa timu ndogo sio Yanga.

Ruvu wanapambana Sana Kama ligi ingekuwa hivi tungekua mbali sana na bora hata kimataifa shida ya hizi timu ndogo vinakamia mechi moja tu haswa kwenye hizi timu kubwa Simba, Yanga na Azam

Clement Mzize awe makini mazoezini na awafuatishe maelekezo ya makocha na benchi la ufundi akubali kujifunza kwa wachezaji wenzake hasa waliomzidi! anatakiwa kujua mpira una vitu viwili uwanjani Nguvu na Akili panapo hitajika nguvu atumie na panapo hitajika akili vilevile azitumie.

Timu ijitafakari kuelekea shirikisho Kwa namna hii ya uchezaji nafasi ya Tatu itawahusu kwenye kundi kama wasipobadilika kiuchezaji TP Mazembe, watunisia watakuja Kwa mkapa kupaki basi wapate sare na hawatakuwa na makosa ya fikirini bakari mwashilimbi au pengine watufunge kabisa benchi la fundi, timu inakosa creativity Kwa timu zinazopaki basi kiuhalisia Yanga hakuna namba 8 halisia mwenye uwezo wakupiga pasi za mwisho za hatari na kufungua ukuta uliojificha wasipofanya mabadiliko wasitegemee maajabu ya Club African.

Yanga 1-0 Ruvu shooting

[ATTACH=full]1071[/ATTACH]

[QUOTE="Kriss, post: 3034, member: 467"] Yanga wanashida kwenye match ya 3 sasa ila ushindi wake unatafutwa kwa shida kama wanacheza na timu ngumu lakini ni hizi hizi timu za ndani shida ni nini na usajili umefanyika, Winga zote hazimwagi maji Kwa Musonda na Mayele inabidi washuke chini sana kufata mipira. Kuna kitu Yanga wanakikosa viungo wa pasi za mwisho kwa washambuliaji, winga zenye za kisasa Kocha anaona hili wanapaswa kuingia tena sokoni msimu ujao timu inamapungufu bado. Kwanza kabisa winga wa pembeni hakuna, Kisinda na Moloko sio wachezaji wa kucheza Yanga wanaenda kimataifa zitapatikana nafasi moja au mbili tu za kupata ushindi, unadhani kisinda au moloko atatupatia goli? Kama Moloko hakuna mchezaji pale siku zote huwa nasema nimchezaji wa timu ndogo sio Yanga. Ruvu wanapambana Sana Kama ligi ingekuwa hivi tungekua mbali sana na bora hata kimataifa shida ya hizi timu ndogo vinakamia mechi moja tu haswa kwenye hizi timu kubwa Simba, Yanga na Azam Clement Mzize awe makini mazoezini na awafuatishe maelekezo ya makocha na benchi la ufundi akubali kujifunza kwa wachezaji wenzake hasa waliomzidi! anatakiwa kujua mpira una vitu viwili uwanjani Nguvu na Akili panapo hitajika nguvu atumie na panapo hitajika akili vilevile azitumie. Timu ijitafakari kuelekea shirikisho Kwa namna hii ya uchezaji nafasi ya Tatu itawahusu kwenye kundi kama wasipobadilika kiuchezaji TP Mazembe, watunisia watakuja Kwa mkapa kupaki basi wapate sare na hawatakuwa na makosa ya fikirini bakari mwashilimbi au pengine watufunge kabisa benchi la fundi, timu inakosa creativity Kwa timu zinazopaki basi kiuhalisia Yanga hakuna namba 8 halisia mwenye uwezo wakupiga pasi za mwisho za hatari na kufungua ukuta uliojificha wasipofanya mabadiliko wasitegemee maajabu ya Club African. Yanga 1-0 Ruvu shooting [ATTACH type="full"]1071[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana
Top
Bottom