Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Game ilikuwa nzuri Yanga alitawala mpira bado ntakuja palepale mechi ya Pili Sasa Mudafiri anaamua mipira isivuke Nyuma yake japo tofauti ya Jana kidogo amepoteza pasi baada ya kukaba vizuri mipira kadhaa aliipoteza.

Mwalimu ana kazi upande wa mashambulizi Yanga amekuwa na ukame wa magoli muda Sasa anashinda moja au mbili Sana amefululiza moja hii inampa Mwalimu kazi ya kuiweka sawa forward yake.

Jana kacheza 4 4 2 lakini haijaleta majibu mpaka tunaona goli anajifunga mtu baada ya kiungo kupiga pasi ya kichokozi pale Kati huwezi SEMA washambuliaji wa Yanga wabovu hapana Ila Mwalimu lazima akae nao vizuri Ila Yanga upande wa pembeni haiko vizuri muda mrefu hajapata mawinga wale wenyewe kabisa.

[QUOTE="Brenda, post: 3038, member: 464"] Game ilikuwa nzuri Yanga alitawala mpira bado ntakuja palepale mechi ya Pili Sasa Mudafiri anaamua mipira isivuke Nyuma yake japo tofauti ya Jana kidogo amepoteza pasi baada ya kukaba vizuri mipira kadhaa aliipoteza. Mwalimu ana kazi upande wa mashambulizi Yanga amekuwa na ukame wa magoli muda Sasa anashinda moja au mbili Sana amefululiza moja hii inampa Mwalimu kazi ya kuiweka sawa forward yake. Jana kacheza 4 4 2 lakini haijaleta majibu mpaka tunaona goli anajifunga mtu baada ya kiungo kupiga pasi ya kichokozi pale Kati huwezi SEMA washambuliaji wa Yanga wabovu hapana Ila Mwalimu lazima akae nao vizuri Ila Yanga upande wa pembeni haiko vizuri muda mrefu hajapata mawinga wale wenyewe kabisa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana
Top
Bottom