Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa

Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu

Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa

Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

[QUOTE="Mshua, post: 6146, member: 2315"] Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara
Top
Bottom