Yanga kutoka nafasi ya 75 hadi ya 46

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ushindi wa Jumatano wa Yanga umepelekea Yanga kutoka nafasi ya 75 mpaka ya 46 Afrika na pia kupeleka ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka ya 9

Hiii imeonesha mafanikio makubwa kwa upande wa timu ya Yanga pamoja na ligi yetu ya Tanzania ni jambo kubwa sana maana hata ligi yetu inazidi kukua siku baada ya siku

Yanga kwasasa inazungumzwa kwa sehemu kubwa ya vyombo vya habari Afrika ni hatua moja wapo kwa hata ligi yetu na wachezaji wetu kufikia malengo yao.