“Tangu tumefika hapa tumepata ushirikiano kutoka kwa klabu ya Etoile du Sahel ambao huku tulipo ndio maskani yao na ni kama ilivyo kawaida ya klabu pinzani, wametuambia Africain sio wa kutisha kwasasa kwakuwa pia wana ban ya FIFA” - Ali Kamwe. Huyu huyu anaongea tena kwa ujasiri