Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga nao wametinga Robo fainali FA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ugonjwa wa Yanga na mipira iliyokufa umefikia kwenye stage ya aibu. Kwa timu kubwa huwezi kuwa unaruhusu magoli ya namna hii kila kukicha.

Speed ya Yanga kwenye kutengeneza mashambulizi ni ndogo sana

Kazi kubwa inahitajika benchi la ufundi sehemu ya kiungo na kufanya marking katika kona na faulo.

Team iko too relaxed kuruhusu magoli ya kona na faulo.

Yanga bado kunatatizo katika eneo zima mpira ya kona angalia mechi na Mounastir, Bamako na mechi ya leo na Prisons yaan ni poor marking

Zaid kocha aliangalie hili kwa ukubwa wake maana itakuja kuigharimu timu hususa katika mashindano haya ya kimataifa maana kuna wachezaji wazuri zaidi na wenye uzoefu kocha ANGALIA NAMNA Ya Kuzuia MPIRA YA KONA!!

Nngependa Juma Shabani na Shomar Kibwan waanze wote ule upande ili kuweka uwiano wa kutengeneza mashambulizi

Naaaaam uyu Clement Yanga wahakikisheni wanamtunza na kumpa mkataba mapema asije mbele yakatokea ya Fei

[ATTACH=full]1344[/ATTACH]

[QUOTE="Nabi, post: 3511, member: 473"] Ugonjwa wa Yanga na mipira iliyokufa umefikia kwenye stage ya aibu. Kwa timu kubwa huwezi kuwa unaruhusu magoli ya namna hii kila kukicha. Speed ya Yanga kwenye kutengeneza mashambulizi ni ndogo sana Kazi kubwa inahitajika benchi la ufundi sehemu ya kiungo na kufanya marking katika kona na faulo. Team iko too relaxed kuruhusu magoli ya kona na faulo. Yanga bado kunatatizo katika eneo zima mpira ya kona angalia mechi na Mounastir, Bamako na mechi ya leo na Prisons yaan ni poor marking Zaid kocha aliangalie hili kwa ukubwa wake maana itakuja kuigharimu timu hususa katika mashindano haya ya kimataifa maana kuna wachezaji wazuri zaidi na wenye uzoefu kocha ANGALIA NAMNA Ya Kuzuia MPIRA YA KONA!! Nngependa Juma Shabani na Shomar Kibwan waanze wote ule upande ili kuweka uwiano wa kutengeneza mashambulizi Naaaaam uyu Clement Yanga wahakikisheni wanamtunza na kumpa mkataba mapema asije mbele yakatokea ya Fei [ATTACH type="full"]1344[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga nao wametinga Robo fainali FA
Top
Bottom