Kikosi cha Yanga SC kikiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Tunisia leo kwaajili ya mchezo wao wa marudiano ya mchujo wa kuwania kwenda hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain ambao ndio wenyeji wao jijini Tunis.