Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makiniā¦Simba No Stress
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union watawakilisha Taifa upande wa Kombe la Shirikisho.

Yanga ni bingwa wa Ligi Kuu na Azam FC alimaliza kwenye nafasi ya pili hali inayompatia tiketi hiyo kwa mara ya kwanza, baada ya miaka mingi kupita.

Yanga ni moja ya klabu inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kufika mbali kwenye mashindano hayo, kutokana uzoefu wao wa misimu miwili ambao Azam FC hawana huo uzoefu, hivyo wanahitaji umakini mkubwa sana kuzicheza mechi hizo.

Kanuni za mashindano ya CAF, haswa kwa upande wa Ligi ya mabingwa Afrika inaeleza kwamba, endapo klabu itafungwa kwenye michezo ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa, na kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya CAF, itaondoshwa moja kwa moja kwenye mashindano hayo.

Hivyo haitoruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la shirikisho kama ilivyokuwa hapo awali.

Pia kanuni za mashindano hayo inaendelea kwa kufafanua kwamba, timu zitakazofuzu kutoka hatua ya pili ya awali ya kombe la shirikisho, zitaingia moja kwa moja hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Kwa upande wa Simba SC kanuni hizo na kwa uzoefu wao jinsi ya kucheza mashindano hayo, sio shida sana kwenye kanuni hizi, wana uzoefu mkubwa sana kulinganisha na Yanga SC, Azam FC, Coastal Union.

Simba imeendelea kujiimarisha kwa kufanya sajili za wachezaji wengi, ikiwemo Elie Mpanzu, dili la Yusuph Kagoma lipo sehemu nzuri zaidi kutika, Lameck Lawi na kuna tetesi za wachezaji wengine wengi.

Unadhani wanatakiwa kufanya nini?

[QUOTE="Kijiweni, post: 4820, member: 476"] WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union watawakilisha Taifa upande wa Kombe la Shirikisho. Yanga ni bingwa wa Ligi Kuu na Azam FC alimaliza kwenye nafasi ya pili hali inayompatia tiketi hiyo kwa mara ya kwanza, baada ya miaka mingi kupita. Yanga ni moja ya klabu inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kufika mbali kwenye mashindano hayo, kutokana uzoefu wao wa misimu miwili ambao Azam FC hawana huo uzoefu, hivyo wanahitaji umakini mkubwa sana kuzicheza mechi hizo. Kanuni za mashindano ya CAF, haswa kwa upande wa Ligi ya mabingwa Afrika inaeleza kwamba, endapo klabu itafungwa kwenye michezo ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa, na kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya CAF, itaondoshwa moja kwa moja kwenye mashindano hayo. Hivyo haitoruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la shirikisho kama ilivyokuwa hapo awali. Pia kanuni za mashindano hayo inaendelea kwa kufafanua kwamba, timu zitakazofuzu kutoka hatua ya pili ya awali ya kombe la shirikisho, zitaingia moja kwa moja hatua ya makundi ya michuano hiyo. Kwa upande wa Simba SC kanuni hizo na kwa uzoefu wao jinsi ya kucheza mashindano hayo, sio shida sana kwenye kanuni hizi, wana uzoefu mkubwa sana kulinganisha na Yanga SC, Azam FC, Coastal Union. Simba imeendelea kujiimarisha kwa kufanya sajili za wachezaji wengi, ikiwemo Elie Mpanzu, dili la Yusuph Kagoma lipo sehemu nzuri zaidi kutika, Lameck Lawi na kuna tetesi za wachezaji wengine wengi. [B][I]Unadhani wanatakiwa kufanya nini?[/I][/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makiniā¦Simba No Stress
Top
Bottom