Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga SC vs Tabora United | Yanga Inawakosa Hawa Hapa Leo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi kuwanoa mastaa wa DR Congo akiwamo Maxi Nzengeli, Ellie Mpanzu, huku timu hiyo ikitamba itatonesha kidonda.

Mabeki hao wanatumikia adhabu ya kadi, huku Yanga ikitoka kupoteza mechi iliyopita mbele ya Azam FC, Bacca alilimwa kadi nyekundu katika mchezo huo, wakati Job anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Yanga itakuwa wenyeji wa Tabora kwenye Uwanja wa Azam Complex, itawakosa mabeki hao walioanza kwa pambano katika mechi sita kati ya nane bila kuruhusu bao katika Ligi, lakini ikikutna na timu iliyotoka kushinda michezo miwili mfululizo dhidi ya Pamba Jiji na Mashujaa yote yakifungwa na Morice Chukwu.

Kukosekana kwa Job na Bacca, moja kwa moja kunatoa nafasi kwa nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto pamoja na Aziz Andabwile kupewa nafasi kubwa ya kuziba mapengo hayo.

Utakua Mchezo Wa Aina Gani? Kuna Magoli Mangapi Leo?

[QUOTE="Kijiweni, post: 12081, member: 476"] Yanga kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi kuwanoa mastaa wa DR Congo akiwamo Maxi Nzengeli, Ellie Mpanzu, huku timu hiyo ikitamba itatonesha kidonda. . Mabeki hao wanatumikia adhabu ya kadi, huku Yanga ikitoka kupoteza mechi iliyopita mbele ya Azam FC, Bacca alilimwa kadi nyekundu katika mchezo huo, wakati Job anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano. . Yanga itakuwa wenyeji wa Tabora kwenye Uwanja wa Azam Complex, itawakosa mabeki hao walioanza kwa pambano katika mechi sita kati ya nane bila kuruhusu bao katika Ligi, lakini ikikutna na timu iliyotoka kushinda michezo miwili mfululizo dhidi ya Pamba Jiji na Mashujaa yote yakifungwa na Morice Chukwu. . Kukosekana kwa Job na Bacca, moja kwa moja kunatoa nafasi kwa nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto pamoja na Aziz Andabwile kupewa nafasi kubwa ya kuziba mapengo hayo. Utakua Mchezo Wa Aina Gani? Kuna Magoli Mangapi Leo? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga SC vs Tabora United | Yanga Inawakosa Hawa Hapa Leo
Top
Bottom