Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Moloko, Bryson kuikosa Mtibwa, Sure Boy arejea

KIKOSI cha Yanga kimeondoka jana Februari 21 tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Februari 23 Mwaka huu kwenye Uwanja wa Manungu Morogoro.

Mhamasishaji wa klabu hiyo, Haji Manara anasema timu inaondoka mchana wa leo huku ikitarajia kuwakosa baadhi ya mastaa wao wanaokabiriwa na majeraha.

Anasema kwenye mchezo huo wanatarajia kumkosa Jesus Moloko, Abdallah Shaibu na David Bryson huku akimtaja Aboubakal Salum ‘Sure Boy’ na Yassin Mustafa kurudi baada ya kukaa nje kwa muda.

“Maandalizi kwa upande wa timu yanakwenda vizuri na tunakwenda Manungu tukiachana na histori zilizopita tunafuata pointi tatu muhimu ili kuendeleza mpango kutwaa taji,”

“Mtibwa Sugar ilishawahi kuwa bingwa mara mbili mfululizo ni timu ya kuheshimiwa wanauzoefu mkubwa wana misimu 25 kwenye Ligi ukitoa Simba na Yanga hakuna timu iliyocheza mfululizo ligi bila kushuka,” anasema.

[QUOTE="Amir, post: 1021, member: 20"] [HEADING=1]Moloko, Bryson kuikosa Mtibwa, Sure Boy arejea[/HEADING] [IMG alt="yanga safari pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3724118/landscape_ratio16x9/1160/652/71116bd2b33e85c60bdff70274f2c22/zY/yanga-safari-pic.jpg[/IMG] KIKOSI cha Yanga kimeondoka jana Februari 21 tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Februari 23 Mwaka huu kwenye Uwanja wa Manungu Morogoro. Mhamasishaji wa klabu hiyo, Haji Manara anasema timu inaondoka mchana wa leo huku ikitarajia kuwakosa baadhi ya mastaa wao wanaokabiriwa na majeraha. Anasema kwenye mchezo huo wanatarajia kumkosa Jesus Moloko, Abdallah Shaibu na David Bryson huku akimtaja Aboubakal Salum ‘Sure Boy’ na Yassin Mustafa kurudi baada ya kukaa nje kwa muda. “Maandalizi kwa upande wa timu yanakwenda vizuri na tunakwenda Manungu tukiachana na histori zilizopita tunafuata pointi tatu muhimu ili kuendeleza mpango kutwaa taji,” “Mtibwa Sugar ilishawahi kuwa bingwa mara mbili mfululizo ni timu ya kuheshimiwa wanauzoefu mkubwa wana misimu 25 kwenye Ligi ukitoa Simba na Yanga hakuna timu iliyocheza mfululizo ligi bila kushuka,” anasema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom