Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

"Asikwambie Mtu, Yanga Tamuu"

BAADA ya kuhama Yanga akitaja kuwa ni timu inayomuumiza kutokana na kukosa mataji msanii wa muziki wa kizazi kipya Marioo amerudi tena Yanga kwa kuachia wimbo wenye maudhui ya kuisifia.

Marioo alihama Yanga msimu uliopita na kujiunga na Simba ambayo ilitwaa mataji mara nne na kuiwakilisha nchi kimataifa.

Mkali huyo wa mashairi ya mapenzi amefanya remix ya wimbo wa Bia tamu na kuwa Yanga tamu ukiambatana na video inayoonyesha matukio mbalimbali ya wachezaji wa Yanga wakiwa uwanjani.

“Nimerudi nyumbani namepata nafasi hadi ya kutoa nyimbo kwaajili ya mashabiki ni zawadi yangu kwao waitumie kila timu inapopata matokeo,” anasema.

“Naamini nimefanya uamuzi sahihi aliyeniamisha Yanga kanirudisha tena nawapenda wanayanga naomba mfurahie wimbo huu maalum kwaajili yenu,” anasema.

[QUOTE="Amir, post: 1022, member: 20"] [HEADING=1]"Asikwambie Mtu, Yanga Tamuu"[/HEADING] [IMG alt="yanga tamu pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3724140/landscape_ratio16x9/1160/652/ba16a7e2b3831f610ce07bd2250d8074/Zo/yanga-tamu-pic.jpg[/IMG] BAADA ya kuhama Yanga akitaja kuwa ni timu inayomuumiza kutokana na kukosa mataji msanii wa muziki wa kizazi kipya Marioo amerudi tena Yanga kwa kuachia wimbo wenye maudhui ya kuisifia. Marioo alihama Yanga msimu uliopita na kujiunga na Simba ambayo ilitwaa mataji mara nne na kuiwakilisha nchi kimataifa. Mkali huyo wa mashairi ya mapenzi amefanya remix ya wimbo wa Bia tamu na kuwa Yanga tamu ukiambatana na video inayoonyesha matukio mbalimbali ya wachezaji wa Yanga wakiwa uwanjani. “Nimerudi nyumbani namepata nafasi hadi ya kutoa nyimbo kwaajili ya mashabiki ni zawadi yangu kwao waitumie kila timu inapopata matokeo,” anasema. “Naamini nimefanya uamuzi sahihi aliyeniamisha Yanga kanirudisha tena nawapenda wanayanga naomba mfurahie wimbo huu maalum kwaajili yenu,” anasema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom