Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi awatega mastaa Yanga

YANGA ipo kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Mtibwa Sugar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Manungu, lakini kocha Nesreddine Nabi amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo.

Kocha huyo mwenye uraia wa Ubelgiji na Tunisia, ambaye mkataba wake unamalizika, alifichua kuna uwezekano mkubwa akasalia kikosini, lakini akaweka wazi sifa za mastaa wake wapya wa msimu ujao, hivyo hata wale watakaosalia ndani ya timu hiyo lazima wajipange.

Akizungumza na Mwanaspoti juzi kwenye kambi ya mazoezi ya timu hiyo iliyopo Avic, Kigamboni pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, Kocha Nabi alisema kama kikosi chake kitachukua ubingwa kisha akasajili watu wapya wanatakiwa kuwa na sifa tatu kuu kulingana na ubora wa wachezaji mbalimbali wanaopatikana nchini.

Nabi alisema msimu ujao anataka kuwa na kikosi kitakachokuwa na wachezaji wenye sifa tatu ambapo akazitaja ya kwanza kuwa ni uelewa mkubwa utakaoambatana na uthubutu awapo uwanjani.

Alisema watakaporejea katika michuano mikubwa ya Afrika ubora wa namna hiyo ni kitu muhimu ambacho kitamsaidia mchezaji kufanya makubwa uwanjani.

“Lazima uwe na mchezaji mwenye uelewa mkubwa lakini pia aliye na uthubutu wa kutamani na ari ya kufanya uamuzi mzito awapo uwanjani. Kwa sasa tunao katika kikosi chetu lakini tunawahitaji wengi zaidi ambao watasaidia hata usindani wa ndani ya kikosi,” alisema Nabi.

Akitaja sifa ya pili, Nabi alisema ni mchezaji mwenye haiba anapokuwa katika umati wa mashabiki wengi aweze kuwa na ujasiri wa kufanya kitu bila wasiwasi.

“Tuna wachezaji hapa tumewaleta baadhi bado hawajafanya kile tulichotarajia ingawa hatujakata tamaa, tukiwa mazoezini wamekuwa na ujasiri mkubwa wa kufanya mambo ambayo utafurahia lakini wakiingia katika mechi sijajua wanaogopa mashabiki wanacheza chini sana,” alisema Nabi na kuongeza;

“Mchezaji anatakiwa kuanza kufanya makubwa katika eneo la mazoezi na akija kwenye mechi atafanya kama kile cha mazoezini au zaidi yake lakini hapa kuna baadhi hiyo hali wamekuwa wakikumbana nayo.

“Mchezaji anatakiwa kuwa na ari kubwa anapocheza mbele ya mashabiki wake anatakiwa kuonyesha thamani yake kwanini yupo hapa Yanga lakini sio unawaogopa mashabiki wako na jambo zuri hapa Tanzania kila unapokwenda unakutana na mashabiki wengi wa timu yetu.”

Alisema sifa ya mwisho lakini ya umuhimu mkubwa ni ubora wa mchezaji mwenyewe kwa wakati husika na kwamba ana rekodi gani za ubora kwa msimu uliopita na mitatu nyuma.

“Tutazingatia sana ubora, bahati mbaya mimi sio muumini wa wachezaji wa kuletewa nafikiri hiki kimetusaidia sana sisi makocha na viongozi wa klabu, tulikuwa tunakaa pamoja na kuamua kwa kuangalia ubora wa wachezaji,” alisema na kuongeza:

“Kuna wakati lazima tuseme kilichosahihi, moja ya sifa bora hapa Yanga ni kuanzia kiongozi wa juu mpaka chini kuheshimu nafasi ya makocha kuamua mambo mbalimbali ya ufundi hii imetupa wachezaji bora sana.”

Aidha, kocha huyo alisisitiza kurejea kwa beki Djuma Shaban katika kikosi kutoka kutumikia adhabu ya kufungiwa iliyotokana na kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania, kumeongeza mzuka kwa timu hiyo kabla ya kuwakabili Mtibwa katika mechi aliyokiri ni ngumu.

[QUOTE="mhariri, post: 1025, member: 122"] [HEADING=1]Nabi awatega mastaa Yanga[/HEADING] [IMG alt="nabi pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3690510/landscape_ratio16x9/1160/652/4a36c188fd9f1f83677bca64797ff086/IL/nabi-pic.jpg[/IMG] YANGA ipo kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Mtibwa Sugar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Manungu, lakini kocha Nesreddine Nabi amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo. Kocha huyo mwenye uraia wa Ubelgiji na Tunisia, ambaye mkataba wake unamalizika, alifichua kuna uwezekano mkubwa akasalia kikosini, lakini akaweka wazi sifa za mastaa wake wapya wa msimu ujao, hivyo hata wale watakaosalia ndani ya timu hiyo lazima wajipange. Akizungumza na Mwanaspoti juzi kwenye kambi ya mazoezi ya timu hiyo iliyopo Avic, Kigamboni pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, Kocha Nabi alisema kama kikosi chake kitachukua ubingwa kisha akasajili watu wapya wanatakiwa kuwa na sifa tatu kuu kulingana na ubora wa wachezaji mbalimbali wanaopatikana nchini. Nabi alisema msimu ujao anataka kuwa na kikosi kitakachokuwa na wachezaji wenye sifa tatu ambapo akazitaja ya kwanza kuwa ni uelewa mkubwa utakaoambatana na uthubutu awapo uwanjani. Alisema watakaporejea katika michuano mikubwa ya Afrika ubora wa namna hiyo ni kitu muhimu ambacho kitamsaidia mchezaji kufanya makubwa uwanjani. “Lazima uwe na mchezaji mwenye uelewa mkubwa lakini pia aliye na uthubutu wa kutamani na ari ya kufanya uamuzi mzito awapo uwanjani. Kwa sasa tunao katika kikosi chetu lakini tunawahitaji wengi zaidi ambao watasaidia hata usindani wa ndani ya kikosi,” alisema Nabi. Akitaja sifa ya pili, Nabi alisema ni mchezaji mwenye haiba anapokuwa katika umati wa mashabiki wengi aweze kuwa na ujasiri wa kufanya kitu bila wasiwasi. “Tuna wachezaji hapa tumewaleta baadhi bado hawajafanya kile tulichotarajia ingawa hatujakata tamaa, tukiwa mazoezini wamekuwa na ujasiri mkubwa wa kufanya mambo ambayo utafurahia lakini wakiingia katika mechi sijajua wanaogopa mashabiki wanacheza chini sana,” alisema Nabi na kuongeza; “Mchezaji anatakiwa kuanza kufanya makubwa katika eneo la mazoezi na akija kwenye mechi atafanya kama kile cha mazoezini au zaidi yake lakini hapa kuna baadhi hiyo hali wamekuwa wakikumbana nayo. “Mchezaji anatakiwa kuwa na ari kubwa anapocheza mbele ya mashabiki wake anatakiwa kuonyesha thamani yake kwanini yupo hapa Yanga lakini sio unawaogopa mashabiki wako na jambo zuri hapa Tanzania kila unapokwenda unakutana na mashabiki wengi wa timu yetu.” Alisema sifa ya mwisho lakini ya umuhimu mkubwa ni ubora wa mchezaji mwenyewe kwa wakati husika na kwamba ana rekodi gani za ubora kwa msimu uliopita na mitatu nyuma. “Tutazingatia sana ubora, bahati mbaya mimi sio muumini wa wachezaji wa kuletewa nafikiri hiki kimetusaidia sana sisi makocha na viongozi wa klabu, tulikuwa tunakaa pamoja na kuamua kwa kuangalia ubora wa wachezaji,” alisema na kuongeza: “Kuna wakati lazima tuseme kilichosahihi, moja ya sifa bora hapa Yanga ni kuanzia kiongozi wa juu mpaka chini kuheshimu nafasi ya makocha kuamua mambo mbalimbali ya ufundi hii imetupa wachezaji bora sana.” Aidha, kocha huyo alisisitiza kurejea kwa beki Djuma Shaban katika kikosi kutoka kutumikia adhabu ya kufungiwa iliyotokana na kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania, kumeongeza mzuka kwa timu hiyo kabla ya kuwakabili Mtibwa katika mechi aliyokiri ni ngumu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom