Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayele: Hao Mtibwa Sugar Waje

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ameapa kuipambania Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuu

dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi wakiwa ugenini.

Yanga katika mchezo huo, wanatarajiwa kuwa ugenini kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro, utakaochezwa leo.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Mayele alisema kuwa licha ya kufahamu kuwa mchezo huo utakuwa mgumu

lakini watapambana kama timu kuhakikisha wanaibuka na ushindi muhimu katika mchezo huo kutokana na kufahamu umuhimu wa mchezo wenyewe.

“Tunafahamu ukubwa wa mchezo huu, ni mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa ligi, hivyo tunatakiwa kuumaliza kwa ushindi, naona utakuwa mchezo mgumu kwa kuwa tutakuwa ugenini lakini hatuhofii

hilo.

“Sisi tupo tayari kwa ajili ya mapambano na tutapambana mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha tunaondoka na

ushindi, kila mchezo kwetu unahitaji ushindi, na hiyo ni kutokana na kuhitaji kutimiza malengo yetu msimu huu,” alisema Mayele.

[QUOTE="vuligate, post: 1038, member: 123"] [HEADING=1]Mayele: Hao Mtibwa Sugar Waje[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273265682_337236161610068_6204935112247286040_n.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ameapa kuipambania Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi wakiwa ugenini. Yanga katika mchezo huo, wanatarajiwa kuwa ugenini kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro, utakaochezwa leo. Akizungumza na Championi Jumatatu, Mayele alisema kuwa licha ya kufahamu kuwa mchezo huo utakuwa mgumu lakini watapambana kama timu kuhakikisha wanaibuka na ushindi muhimu katika mchezo huo kutokana na kufahamu umuhimu wa mchezo wenyewe. “Tunafahamu ukubwa wa mchezo huu, ni mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa ligi, hivyo tunatakiwa kuumaliza kwa ushindi, naona utakuwa mchezo mgumu kwa kuwa tutakuwa ugenini lakini hatuhofii hilo. “Sisi tupo tayari kwa ajili ya mapambano na tutapambana mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha tunaondoka na ushindi, kila mchezo kwetu unahitaji ushindi, na hiyo ni kutokana na kuhitaji kutimiza malengo yetu msimu huu,” alisema Mayele. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom