Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Fei Toto apewa kazi maalum Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kumtumia kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kama njia rahisi ya kupata ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar, kesho Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro.

Mchezo huo ni wa kumaliza mzunguko wa kwanza ambapo Yanga ipo kileleni na alama zake 36, huku Mtibwa ikishika

nafasi ya 15, ikikusanya alama 12, zote zikicheza mechi 14. Chanzo chetu kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, katika mazoezi ya kuelekea kwenye mchezo huo, Nabi ameamua kumuongezea mbinu za ufungaji Fei Toto, lengo likiwa ni kumfanya afunge wakati wapinzani wakimkaba mshambuliaji wao hatari, Fiston Mayele.

“Kocha wetu hana shaka kabisa na taarifa za ubovu wa Uwanja wa Manungu, zaidi yeye yuko bize kuhakikisha anamnoa Fei Toto katika suala la kufumania nyavu kwani mazoezi mengi ameonekana akimtaka kutumia kila nafasi kufunga.

“Hiyo ni katika kuhakikisha timu inapata ushindi kwa sababu tunafahamu kwamba wapinzani watakuwa bize kumkaba Mayele, jambo ambalo litatoa mwanya kwa wengine kufunga na kupata ushindi tunaouhitaji,” kilisema chanzo hicho.

Msimu huu katika Ligi Kuu Bara, Mayele amekuwa chachu kubwa ya ushindi kwa Yanga akiwa amefunga mabao sita, ndiye kinara wa mabao kikosini hapo, huku Fei Toto akiwa nayo manne.

[QUOTE="vuligate, post: 1041, member: 123"] [HEADING=1]Fei Toto apewa kazi maalum Yanga SC[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/FEI-TOTO.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kumtumia kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kama njia rahisi ya kupata ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar, kesho Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro. Mchezo huo ni wa kumaliza mzunguko wa kwanza ambapo Yanga ipo kileleni na alama zake 36, huku Mtibwa ikishika nafasi ya 15, ikikusanya alama 12, zote zikicheza mechi 14. Chanzo chetu kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, katika mazoezi ya kuelekea kwenye mchezo huo, Nabi ameamua kumuongezea mbinu za ufungaji Fei Toto, lengo likiwa ni kumfanya afunge wakati wapinzani wakimkaba mshambuliaji wao hatari, Fiston Mayele. “Kocha wetu hana shaka kabisa na taarifa za ubovu wa Uwanja wa Manungu, zaidi yeye yuko bize kuhakikisha anamnoa Fei Toto katika suala la kufumania nyavu kwani mazoezi mengi ameonekana akimtaka kutumia kila nafasi kufunga. “Hiyo ni katika kuhakikisha timu inapata ushindi kwa sababu tunafahamu kwamba wapinzani watakuwa bize kumkaba Mayele, jambo ambalo litatoa mwanya kwa wengine kufunga na kupata ushindi tunaouhitaji,” kilisema chanzo hicho. Msimu huu katika Ligi Kuu Bara, Mayele amekuwa chachu kubwa ya ushindi kwa Yanga akiwa amefunga mabao sita, ndiye kinara wa mabao kikosini hapo, huku Fei Toto akiwa nayo manne. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom