Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga SC: Manungu Sio Tatizo Kwetu

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari waYanga,amesema kuwa Uwanjawa Manungu ambaounatarajiwa kutumika leo kwa

mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao sio tatizo.

Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36, wanatarajia kukutana na Mtibwa Sugar iliyokusanya pointi 12 na zote zimecheza mechi 14.

Akizungumza na Championi Jumatano, Bumbuli alisema kila mechi wanazocheza kwao ni muhimu bila kujali wanacheza wapi kwa kuwa kikubwa ni pointi tatu.

“Mkulima mzuri yeye hachagui jembe kikubwa ambacho anaangalia ni namna gani anaweza kulitumia hivyo iwe ni Uwanja wa Manungu ama uwanja mwingine kwetu hakuna tatizo.

“Ambacho tunahitaji ni pointi tatu muhimu na wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wetu kwani malengo yetu ni kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zetu zote,” alisema Bumbuli.

[QUOTE="vuligate, post: 1044, member: 123"] [HEADING=1]Yanga SC: Manungu Sio Tatizo Kwetu[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274491263_646055986724431_8847295988061661253_n.jpg[/IMG] HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari waYanga,amesema kuwa Uwanjawa Manungu ambaounatarajiwa kutumika leo kwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao sio tatizo. Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36, wanatarajia kukutana na Mtibwa Sugar iliyokusanya pointi 12 na zote zimecheza mechi 14. Akizungumza na Championi Jumatano, Bumbuli alisema kila mechi wanazocheza kwao ni muhimu bila kujali wanacheza wapi kwa kuwa kikubwa ni pointi tatu. “Mkulima mzuri yeye hachagui jembe kikubwa ambacho anaangalia ni namna gani anaweza kulitumia hivyo iwe ni Uwanja wa Manungu ama uwanja mwingine kwetu hakuna tatizo. “Ambacho tunahitaji ni pointi tatu muhimu na wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wetu kwani malengo yetu ni kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zetu zote,” alisema Bumbuli. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom