Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Awabadilishia Mbinu Mtibwa Manungu

MECHI ya kisasi! Ndivyo utakavyosema katika kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.

Timu hizo zitavaana katika mchezo wa kwanza wa ligi, lakini Mtibwa wataingia uwanjani wakitaka kulipa kisasi cha kufungwa katikamchezo wa mwisho msimu uliopita bao 1-0 lililofungwa na kiungo mshambuliaji raia wa Angola, Fernandos Carinhos.

Wakati Mtibwa wakiingia kutaka kulipa kisasi, Yanga wenyewe wanahitaji pointi tatu ili waendelee kukaa kileleni kwa kuwaacha watani wake kwa gepu kubwa la pointi katika msimamo wa ligi.

Yanga inaongoza katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 36 ikifuatiwa na watani wao Simba wenye 31 huku

Mtibwa 12 wakiwa katika nafasi ya 14.

Akizungumzia mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi alisema kuwa anafahamu

anakwenda kucheza mchezo mgumu dhidi ya Mtibwa huku akiwa amekiandaa kikosi chake kukabiliana na changamoto zote watakazokutana nazo.

Nabi alisema kuwa moja ya changamoto anayokwenda kukutana nayo ni ubovu wa uwanja, ambao kwake

hataki iwe sababu ya kupoteza mchezo huo muhimu kwao kupata matokeo mazuri.

Alisema kuwa siku tatu alizotumia kukiandaa kikosi chake kambini Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam,

zimetosha vijana wake kupata matokeo mazuri, licha ya changamoto ya uwanja watakayokutana

nayo.

“Nimeki– andaa kikosi changu kutokana na aina ya uwanja nitakaokwenda kuutumia dhidi ya Mtibwa, siufahamu lakini nimepata taarifa za uwanja huo.

“Mimi ninakiandaa kikosi changu katika mazingira yote, kwani uzuri nafahamu changamoto iliyopo hapa nchini ya viwanja,uzuri vijana wangu wanafahamu vizuri hivyo sina hofu, tumejiandaa kwa ajili ya kupata matokeo mazuri, licha ya kukabiliwa na majeraha kikosini kwangu,”alisema Nabi.

Kwa upande wa Kocha Msaidizi wa Mtibwa, Awadh Juma, alisema: “Maandalizi yapo vizuri na wachezaji wana morali kubwa ya kupata matokeo mazuri.

“Tunashukuru namba ya wachezaji waliokuwa wana majeraha imepungua, tunaamini kwetu yatakuwa mazingira rafiki kutokana na kutumia uwanja wa nyumbani.

“Morali ipo juu kwa wachezaji wetu wote, hivi sasa tunawatengeneza kisaikolojia tu kutokana na ukubwa

wa mchezo huu, kwani mazoezi ni yaleyale wanay– ofanya kila siku,” alisema Juma.

[QUOTE="Amir, post: 1047, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Awabadilishia Mbinu Mtibwa Manungu[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/YG.jpg[/IMG] MECHI ya kisasi! Ndivyo utakavyosema katika kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Timu hizo zitavaana katika mchezo wa kwanza wa ligi, lakini Mtibwa wataingia uwanjani wakitaka kulipa kisasi cha kufungwa katikamchezo wa mwisho msimu uliopita bao 1-0 lililofungwa na kiungo mshambuliaji raia wa Angola, Fernandos Carinhos. Wakati Mtibwa wakiingia kutaka kulipa kisasi, Yanga wenyewe wanahitaji pointi tatu ili waendelee kukaa kileleni kwa kuwaacha watani wake kwa gepu kubwa la pointi katika msimamo wa ligi. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/FMRFPzAXIAEEKS5.jpg[/IMG] Yanga inaongoza katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 36 ikifuatiwa na watani wao Simba wenye 31 huku Mtibwa 12 wakiwa katika nafasi ya 14. Akizungumzia mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi alisema kuwa anafahamu anakwenda kucheza mchezo mgumu dhidi ya Mtibwa huku akiwa amekiandaa kikosi chake kukabiliana na changamoto zote watakazokutana nazo. Nabi alisema kuwa moja ya changamoto anayokwenda kukutana nayo ni ubovu wa uwanja, ambao kwake hataki iwe sababu ya kupoteza mchezo huo muhimu kwao kupata matokeo mazuri. Alisema kuwa siku tatu alizotumia kukiandaa kikosi chake kambini Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam, zimetosha vijana wake kupata matokeo mazuri, licha ya changamoto ya uwanja watakayokutana nayo. “Nimeki– andaa kikosi changu kutokana na aina ya uwanja nitakaokwenda kuutumia dhidi ya Mtibwa, siufahamu lakini nimepata taarifa za uwanja huo. “Mimi ninakiandaa kikosi changu katika mazingira yote, kwani uzuri nafahamu changamoto iliyopo hapa nchini ya viwanja,uzuri vijana wangu wanafahamu vizuri hivyo sina hofu, tumejiandaa kwa ajili ya kupata matokeo mazuri, licha ya kukabiliwa na majeraha kikosini kwangu,”alisema Nabi. Kwa upande wa Kocha Msaidizi wa Mtibwa, Awadh Juma, alisema: “Maandalizi yapo vizuri na wachezaji wana morali kubwa ya kupata matokeo mazuri. “Tunashukuru namba ya wachezaji waliokuwa wana majeraha imepungua, tunaamini kwetu yatakuwa mazingira rafiki kutokana na kutumia uwanja wa nyumbani. “Morali ipo juu kwa wachezaji wetu wote, hivi sasa tunawatengeneza kisaikolojia tu kutokana na ukubwa wa mchezo huu, kwani mazoezi ni yaleyale wanay– ofanya kila siku,” alisema Juma. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom