Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Huyo Fei Toto kumbe alijitabiria mapemaa

UMAARUFU alionao kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ haujaja kwa bahati mbaya bali ni jambo alilojitabiria tangu akiwa na umri mdogo mbele ya marafiki wake.

Beki wa Namungo, Abdulaziz Makame ‘Bui’ ni kati ya mashuhuda wa maneno ya Fei aliyosema miaka mingi iliyopita kuwa, atakuja kuwa na jina kubwa ndani na nje.

Bui alisema Fei Toto alikuwa na kipaji tangu akiwa mtoto, kipindi hicho wakicheza mtaani watu wengi walikuwa wanakusanyika kumtazama anavyocheza.

“Kama kuna neno nalikumbuka ambalo Fei aliongea kipindi tukiwa wadogo, ingawa mimi ni mkubwa kidogo kwake, alisema nitakuja kuwa staa mkubwa sana, tukawa tunacheka, tukijua ni maneno ya kitoto.” alisema Makame na kuongeza;

“Kauli yake imetimia jina lake limekuwa kubwa, naamini akiamua kwenda kucheza nje basi atakamilisha ndoto zake ambazo alikuwa anasema atakuwa staa ndani na nje.”

Alibainisha kipaji cha Fei kilikuwa kinavutia tangu akicheza mtaani, kutokana na namna wachezaji wenzake walivyokuwa wanapenda aanzishwe kwenye kila mechi.

Alisema baada ya Fei kusajiliwa Yanga, alifurahia na kuona anakwenda kuishi ndoto zake.

“Nje na soka kitu ambacho Fei alikuwa ananichekesha alikuwa anapenda kulakula sana, ukishika kitu anakwambia kaka naomba, kiukweli tumetoka mbali nikikumbuka huwa nacheka sana.”

[QUOTE="mhariri, post: 1075, member: 122"] [HEADING=1]Huyo Fei Toto kumbe alijitabiria mapemaa[/HEADING] [IMG alt="Fei PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3729216/landscape_ratio16x9/1160/652/3652a3fc01b6f8f7d96ace16e6daca22/hR/fei-pic.jpg[/IMG] UMAARUFU alionao kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ haujaja kwa bahati mbaya bali ni jambo alilojitabiria tangu akiwa na umri mdogo mbele ya marafiki wake. Beki wa Namungo, Abdulaziz Makame ‘Bui’ ni kati ya mashuhuda wa maneno ya Fei aliyosema miaka mingi iliyopita kuwa, atakuja kuwa na jina kubwa ndani na nje. Bui alisema Fei Toto alikuwa na kipaji tangu akiwa mtoto, kipindi hicho wakicheza mtaani watu wengi walikuwa wanakusanyika kumtazama anavyocheza. “Kama kuna neno nalikumbuka ambalo Fei aliongea kipindi tukiwa wadogo, ingawa mimi ni mkubwa kidogo kwake, alisema nitakuja kuwa staa mkubwa sana, tukawa tunacheka, tukijua ni maneno ya kitoto.” alisema Makame na kuongeza; “Kauli yake imetimia jina lake limekuwa kubwa, naamini akiamua kwenda kucheza nje basi atakamilisha ndoto zake ambazo alikuwa anasema atakuwa staa ndani na nje.” Alibainisha kipaji cha Fei kilikuwa kinavutia tangu akicheza mtaani, kutokana na namna wachezaji wenzake walivyokuwa wanapenda aanzishwe kwenye kila mechi. Alisema baada ya Fei kusajiliwa Yanga, alifurahia na kuona anakwenda kuishi ndoto zake. “Nje na soka kitu ambacho Fei alikuwa ananichekesha alikuwa anapenda kulakula sana, ukishika kitu anakwambia kaka naomba, kiukweli tumetoka mbali nikikumbuka huwa nacheka sana.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom