Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Aucho Jeuri Nyie! Atupa Kijembe Simba

BAADA ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara bila ya kufungwa huku wakiwa kileleni katika msimamo wakiwa na pointi 39, kiungo fundi wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho ameibuka na kutamka ligi wataianza rasmi Februari 27, mwaka huu.

Yanga tarehe hiyo ambayo ni keshokutwa Jumapili wanatarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, na kauli hiyo ya Aucho ni kama anawaambia Simba wasahau suala la ubingwa msimu huu kwani kazi ndio kwanza inaanza.

Kauli ya Mganda huyo imekuja baada ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar mabao 0 2-0 nyumbani kwao kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.

Ushindi huo umewawezesha timu hiyo kuwaacha watani wao, Simba kwa tofauti ya oint inane. Kwa mujibu wa Aucho, baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa nguvu na akili zao wanazielekeza katika mchezo ujao wa ligi dhidi ya Kagera ambao ni muhimu kwao kupata matokeo mazuri.

Aucho alisema kuwa katika kuelekea mchezo huo wataingia uwanjani kusaka pointi tatu kama vile ndiyo wanaanza ligi.

. “Wachezaji wote tumesahau matokeo tuliyoyapata katika mzunguko wa kwanza wa ligi, badala yake tutaingia kutafuta pointi tatu Februari 27.

“Hivyo mchezo wetu ujao wa ligi (Kagera) tutaingia uwanjani kwa lengo moja pekee kupata ushindi. Na tutauchukulia mchezo huo kama vile tunaanza ligi.

“Nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri nina maana gani, kama inavyojulikana malengo yetu katika msimu huu ambao kwetu tunahitaji kuchukua makombe yote, nimalizie kwa kuwaambia nawapenda mashabiki wa Yanga” alisema Aucho.

[QUOTE="Amir, post: 1086, member: 20"] [HEADING=1]Aucho Jeuri Nyie! Atupa Kijembe Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yanga-2-1.jpg[/IMG] BAADA ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara bila ya kufungwa huku wakiwa kileleni katika msimamo wakiwa na pointi 39, kiungo fundi wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho ameibuka na kutamka ligi wataianza rasmi Februari 27, mwaka huu. Yanga tarehe hiyo ambayo ni keshokutwa Jumapili wanatarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, na kauli hiyo ya Aucho ni kama anawaambia Simba wasahau suala la ubingwa msimu huu kwani kazi ndio kwanza inaanza. Kauli ya Mganda huyo imekuja baada ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar mabao 0 2-0 nyumbani kwao kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/yangasc_265180616_1064414541016915_1049622209843011182_n.jpg[/IMG] Ushindi huo umewawezesha timu hiyo kuwaacha watani wao, Simba kwa tofauti ya oint inane. Kwa mujibu wa Aucho, baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa nguvu na akili zao wanazielekeza katika mchezo ujao wa ligi dhidi ya Kagera ambao ni muhimu kwao kupata matokeo mazuri. Aucho alisema kuwa katika kuelekea mchezo huo wataingia uwanjani kusaka pointi tatu kama vile ndiyo wanaanza ligi. . “Wachezaji wote tumesahau matokeo tuliyoyapata katika mzunguko wa kwanza wa ligi, badala yake tutaingia kutafuta pointi tatu Februari 27. “Hivyo mchezo wetu ujao wa ligi (Kagera) tutaingia uwanjani kwa lengo moja pekee kupata ushindi. Na tutauchukulia mchezo huo kama vile tunaanza ligi. “Nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri nina maana gani, kama inavyojulikana malengo yetu katika msimu huu ambao kwetu tunahitaji kuchukua makombe yote, nimalizie kwa kuwaambia nawapenda mashabiki wa Yanga” alisema Aucho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom