Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAYELE ATETEMA MARA MBILI, YANGA YAITANDIKA KAGERA 3-0

VINARA, Yanga SC wameuanza vyema mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga SC leo yamefungwa na mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele mawili dakika ya 30 na 50 na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza dakika ya 64.

Yanga ingeweza kuondoka na ushindi mnoni zaidi kama si wachezaji wake, Mayele, Ntibanzokiza na mtokea benchi, mshambuliaji Mkongo mwingine, Heritier Makambo kupoteza nafasi nzuri za kufunga.

Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 42 katika mchezo wa 16 na kutanua uongozi wake kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi.

Kagera Sugar baada ya kupoteza mechi ya leo, wanabaki na pointi zao 20 za mechi 16 sasa katika nafasi ya nane.

[QUOTE="Amir, post: 1091, member: 20"] [HEADING=2]MAYELE ATETEMA MARA MBILI, YANGA YAITANDIKA KAGERA 3-0[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgXnTrOMRwFe87Aa1psZ2-Gb13Ctjjdl5Agdb8bm4v4WGHOvcMbcnw6uOM33jVVxMTrlMV064WMU6_qP3iW2AULjlP-ws8PkvVyKOFB8anhdYK33lt30wQlAUbs_9TrvztpHF3a_tZM8vPrte0UpZ2RTxdSU3RbjO9EFi-jggCUQjNMesSCuxiBrHFw=w640-h578[/IMG] VINARA, Yanga SC wameuanza vyema mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga SC leo yamefungwa na mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele mawili dakika ya 30 na 50 na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza dakika ya 64. Yanga ingeweza kuondoka na ushindi mnoni zaidi kama si wachezaji wake, Mayele, Ntibanzokiza na mtokea benchi, mshambuliaji Mkongo mwingine, Heritier Makambo kupoteza nafasi nzuri za kufunga.[IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgyvq-xiXZ4EVm1WZAY46OhTVNvlCrs_PwD1iVWYteQEHSEUkv36NSbhyx2qA9D9RKzEaSjikZgrSS6WQ4P5E5obYwifobKnjWn8it0Id6JNZp-_BB7y_QnhsPcmnZJ0ip1Cy5mMbBXNt-TLSlTabZqLPx9Nmx5uS01HSoRLzaR1swuVknWY1GByQKq=w640-h568[/IMG] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhLdrkursv07cyx74fRThFkPp9fX5vJQWd7JRIt8iNrEGKmCG94AhaeZhenOJTDEOPLTvdGXRuN0vTJs2IYP9mVag59r2ztzTJbISudCielwLq4aTdSR6hembO0xpwzEmAti1XLKM0-8sHCwgSvDYLNBqvKWm-KX3Dxyb7CtqIZ6r49g06Q7Efot8Iw=w640-h448[/IMG] Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 42 katika mchezo wa 16 na kutanua uongozi wake kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Kagera Sugar baada ya kupoteza mechi ya leo, wanabaki na pointi zao 20 za mechi 16 sasa katika nafasi ya nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom