Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ZA NDANI KABISA: Kaseke ndo basi tena Yanga SC

ZA NDAANI kabisa ambazo hazina chembe za shaka yoyote ni juu ya safari inayotarajiwa kumkuta, Deus Kaseke ndani ya Yanga kwa msimu ujao.

Ni kwamba hatma ya kiungo mkongwe wa Yanga Deuse Kaseke italazimika kusubiri mpaka mwisho wa msimu kuangalia kama ataweza kuongezewa mkataba wa kuendelea msimu ujao.

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga zinasema Kaseke ambaye mkataba wake unafikia tamati mwisho wa msimu bado hakuna uhakika wa moja kwa moja kusalia katika kikosi hicho.

Wasiwasi huo umeongezeka zaidi kufuatia kiungo huyo kupoteza nafasi ya moja kwa moja kuanza katika kikosi cha kwanza cha Kocha Nasreddine Nabi anayemtumia mara chache akitokea benchi.

Inaelezwa Kaseke inabidi afanye maombi sana ili kumlainisha Nabi kwani ni yeye tu kwa sasa aliyeshikilia hatma yake kwa msimu ujao.

Nabi ndiye atakayeamua kubaki au kuondoka kwa Kaseke, huku utitiri wa viungo wa pembeni ukiiweka nafasi ya kiungo huyo wa zamani wa Mbeya City na Singida United kusalia kuwa finyu.

Kwa sasa Yanga ina mawinga 6 akiwamo Kaseke, Farid Mussa, Jesus Moloko, Chico Ushindi, Denis Nkane na Dickson Ambundo wanaotumika kila mara na kuonyesha uwezo mkubwa kikosini.

Taarifa zinasema, Nabi ameweka msimamo wake akisema anataka wasalie viungo watano kati ya waliopo sasa.

[QUOTE="Amir, post: 1097, member: 20"] [HEADING=1]ZA NDANI KABISA: Kaseke ndo basi tena Yanga SC[/HEADING] [IMG alt="Kaseke PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3732016/landscape_ratio16x9/1160/652/3f61cc4a85a1c72ff654bfb2c902cb7f/Wm/kaseke-pic.jpg[/IMG] ZA NDAANI kabisa ambazo hazina chembe za shaka yoyote ni juu ya safari inayotarajiwa kumkuta, Deus Kaseke ndani ya Yanga kwa msimu ujao. Ni kwamba hatma ya kiungo mkongwe wa Yanga Deuse Kaseke italazimika kusubiri mpaka mwisho wa msimu kuangalia kama ataweza kuongezewa mkataba wa kuendelea msimu ujao. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga zinasema Kaseke ambaye mkataba wake unafikia tamati mwisho wa msimu bado hakuna uhakika wa moja kwa moja kusalia katika kikosi hicho. Wasiwasi huo umeongezeka zaidi kufuatia kiungo huyo kupoteza nafasi ya moja kwa moja kuanza katika kikosi cha kwanza cha Kocha Nasreddine Nabi anayemtumia mara chache akitokea benchi. Inaelezwa Kaseke inabidi afanye maombi sana ili kumlainisha Nabi kwani ni yeye tu kwa sasa aliyeshikilia hatma yake kwa msimu ujao. Nabi ndiye atakayeamua kubaki au kuondoka kwa Kaseke, huku utitiri wa viungo wa pembeni ukiiweka nafasi ya kiungo huyo wa zamani wa Mbeya City na Singida United kusalia kuwa finyu. Kwa sasa Yanga ina mawinga 6 akiwamo Kaseke, Farid Mussa, Jesus Moloko, Chico Ushindi, Denis Nkane na Dickson Ambundo wanaotumika kila mara na kuonyesha uwezo mkubwa kikosini. Taarifa zinasema, Nabi ameweka msimamo wake akisema anataka wasalie viungo watano kati ya waliopo sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom