Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

GSM, Mabosi Yanga Waweka Kikao Kizito Kujadili Pointi Za Ubingwa

KATIKA kuhakikisha wanaendeleza moto wao wa ushindi mfululizo kwenye mzunguko huu wa pili na kufanikisha malengo yao ya kushinda ubingwa, uongozi wa Yanga

Jumamosi jioni ulikuwa na kikao kizito cha wadhamini, Kamati ya Utendaji, benchi la ufundi na wachezaji kilichofanyika katika kambi yao ya Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Yanga walimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa vinara wa msimamo na pointi zao 39, ambapo jana Jumapili walivaana na Kagera Sugar kwenye mchezo wao wa kwanza wa mzunguko wa pili uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, alisema: “Tumefanya kazi kubwa katika michezo yetu ya mzunguko wa kwanza, tumekuwa na kiwango bora na hili linathibitishwa na rekodi mbalimbali ambazo tumeziandika, kuelekea mzunguko wa pili tunafahamu kuwa tutakutana na wakati tumedhamiria kutimiza malengo yetu.”

Akizungumzia maandalizi yao ya michezo ya mzunguko wa pili, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, alisema: “Kwanza uongozi unajivunia mafanikio ambayo tumekuwa nayo katika michezo yetu ya mzunguko wa kwanza, ambapo tumemaliza kama vinara wa msimamo tena tukiwa na pengo kubwa kati yetu na wale ambao wanatufuatia.

“Lakini tunajua kuwa mzunguko wa pili utakuwa mgumu maradufu, hivyo kwa kutambua hilo uongozi wa wadhamini wetu, Kamati ya Utendaji, benchi la ufundi na wachezaji kwa umoja Jumamosi jioni tulikutana kuweka mkakati wa pamoja kukusanya pointi tatu katika michezo ya mzunguko huu wa pili ili kushinda ubingwa.

[QUOTE="Amir, post: 1107, member: 20"] [HEADING=1]GSM, Mabosi Yanga Waweka Kikao Kizito Kujadili Pointi Za Ubingwa[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/gsm.jpg[/IMG] KATIKA kuhakikisha wanaendeleza moto wao wa ushindi mfululizo kwenye mzunguko huu wa pili na kufanikisha malengo yao ya kushinda ubingwa, uongozi wa Yanga Jumamosi jioni ulikuwa na kikao kizito cha wadhamini, Kamati ya Utendaji, benchi la ufundi na wachezaji kilichofanyika katika kambi yao ya Avic Town, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Yanga walimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa vinara wa msimamo na pointi zao 39, ambapo jana Jumapili walivaana na Kagera Sugar kwenye mchezo wao wa kwanza wa mzunguko wa pili uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, alisema: “Tumefanya kazi kubwa katika michezo yetu ya mzunguko wa kwanza, tumekuwa na kiwango bora na hili linathibitishwa na rekodi mbalimbali ambazo tumeziandika, kuelekea mzunguko wa pili tunafahamu kuwa tutakutana na wakati tumedhamiria kutimiza malengo yetu.” Akizungumzia maandalizi yao ya michezo ya mzunguko wa pili, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, alisema: “Kwanza uongozi unajivunia mafanikio ambayo tumekuwa nayo katika michezo yetu ya mzunguko wa kwanza, ambapo tumemaliza kama vinara wa msimamo tena tukiwa na pengo kubwa kati yetu na wale ambao wanatufuatia. “Lakini tunajua kuwa mzunguko wa pili utakuwa mgumu maradufu, hivyo kwa kutambua hilo uongozi wa wadhamini wetu, Kamati ya Utendaji, benchi la ufundi na wachezaji kwa umoja Jumamosi jioni tulikutana kuweka mkakati wa pamoja kukusanya pointi tatu katika michezo ya mzunguko huu wa pili ili kushinda ubingwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom