Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bangala, Mwamnyeto ni habari nyingine

MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema amesifu kiwango kinachoonyeshwa na mabeki wa Yanga, Yannick Bangala na Bakari Mwamnyeto.

Mwaterema amekuwa kwenye kiwango kizuri katika timu hiyo licha ya kupoteza mchezo wao na Yanga kwa kufungwa mabao 3-0, Februari 27, katika Uwanja wa Mkapa.

“Ni mabeki wazuri wanaostahili sifa, sio rahisi kucheza nao hata kidogo kutokana na ubora wao na isitoshe uliona kwenye mchezo wetu tuliokutana nao jinsi ambavyo nilipata shida,” alisema Mwaterema na kuongeza;

“Hadi sasa Yanga ndio timu pekee iliyoruhusu mabao machache (manne) hii tu inatosha kuonyesha ni kwa jinsi gani walivyokuwa muhimu kwenye kikosi chao.”

Akiwa na Kagera Sugar, Mwaterema amecheza michezo 16 na kufunga mabao mawili akiisaidia timu yake kushika nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi hiyo ikikusanya pointi 20.

[QUOTE="Amir, post: 1151, member: 20"] [HEADING=1]Bangala, Mwamnyeto ni habari nyingine[/HEADING] [IMG alt="Bangala PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3735704/landscape_ratio16x9/1160/652/20fead45df8be2299bdc273fadb2ce15/qu/bangala-pic.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema amesifu kiwango kinachoonyeshwa na mabeki wa Yanga, Yannick Bangala na Bakari Mwamnyeto. Mwaterema amekuwa kwenye kiwango kizuri katika timu hiyo licha ya kupoteza mchezo wao na Yanga kwa kufungwa mabao 3-0, Februari 27, katika Uwanja wa Mkapa. “Ni mabeki wazuri wanaostahili sifa, sio rahisi kucheza nao hata kidogo kutokana na ubora wao na isitoshe uliona kwenye mchezo wetu tuliokutana nao jinsi ambavyo nilipata shida,” alisema Mwaterema na kuongeza; “Hadi sasa Yanga ndio timu pekee iliyoruhusu mabao machache (manne) hii tu inatosha kuonyesha ni kwa jinsi gani walivyokuwa muhimu kwenye kikosi chao.” Akiwa na Kagera Sugar, Mwaterema amecheza michezo 16 na kufunga mabao mawili akiisaidia timu yake kushika nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi hiyo ikikusanya pointi 20. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom