Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chico Akabidhiwa Beki Mbishi

DAKTARI wa Viungo wa Yanga raia wa Tunisia, Yussef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongomani, Chico Ushindi ataanza kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC anayocheza beki mbishi, Hassan Kessy, hivyo wawili hao kuna uwezekano mkubwa kukutana.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, utapigwa Machi 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Chico amekosa michezo minne hadi sasa kutokana na maumivu ya misuli aliyoyapata akiwa mazoezini, siku moja kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Biashara United, Februari, mwaka huu.

Michezo aliyoikosa Chico ni dhidi ya Biashara United, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na anatarajiwa kuukosa mchezo wa Jumapili hii dhidi ya Geita Gold utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ammar alisema Chico amepona maumivu hayo na wiki ijayo ataanza mazoezi magumu baada ya kumaliza program binafsi.

“Chico amepata nafuu ya maumivu yake, hivi sasa yupo katika program ya mazoezi maalum ya binafsi chini ya usimamizi wangu ambayo ataimaliza Ijumaa hii.

“Baada ya hapo ataanza mazoezi magumu ya pamoja na wenzake ya uwanjani katika kujiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya KMC tutakaoucheza Uwanja wa Mkapa,” alisema Ammar.

[QUOTE="Amir, post: 1159, member: 20"] [HEADING=1]Chico Akabidhiwa Beki Mbishi[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chico-ushindi-yanga.jpg[/IMG] DAKTARI wa Viungo wa Yanga raia wa Tunisia, Yussef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongomani, Chico Ushindi ataanza kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC anayocheza beki mbishi, Hassan Kessy, hivyo wawili hao kuna uwezekano mkubwa kukutana. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, utapigwa Machi 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Chico amekosa michezo minne hadi sasa kutokana na maumivu ya misuli aliyoyapata akiwa mazoezini, siku moja kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Biashara United, Februari, mwaka huu. Michezo aliyoikosa Chico ni dhidi ya Biashara United, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na anatarajiwa kuukosa mchezo wa Jumapili hii dhidi ya Geita Gold utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Akizungumza na Spoti Xtra, Ammar alisema Chico amepona maumivu hayo na wiki ijayo ataanza mazoezi magumu baada ya kumaliza program binafsi. “Chico amepata nafuu ya maumivu yake, hivi sasa yupo katika program ya mazoezi maalum ya binafsi chini ya usimamizi wangu ambayo ataimaliza Ijumaa hii. “Baada ya hapo ataanza mazoezi magumu ya pamoja na wenzake ya uwanjani katika kujiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya KMC tutakaoucheza Uwanja wa Mkapa,” alisema Ammar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom