Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

#TBT ZILITRENDI: Micho awatimua makomandoo Yanga

miaka ya nyuma na leo tunaenda hadi Machi 3, lakini mwaka 2007.

Siku hiyo buana iliripotiwa tukio la aliyekuwa Kocha Mkuu Mpya wa Yanga, Sredejovich Milutin ‘Micho’ kuamua kuwatimua makomandoo wa klabu hiyo.

Micho anafahamika kwa misimamo yake mikali na siku hiyo, aliwaonyesha jinsi alivyo baada ya bosi huyo wa benchi la ufundi kuamuru makomandoo hao washushwe kwenye basi lililokuwa limewabeba wachezaji.

Hali hiyo iliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wa Yanga kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam saa 1 usiku, dakika chache kabla ya basi lililokuwa limebeba wachezaji hao ili kuwapeleka kambini kwenye Hoteli ya Landmark baada ya kumaliza mazoezi yao.

Baada ya wachezaji kupanda kwenye basi hilo aina ya Toyota Coaster na kutaka kuondoka, Micho ambaye hutumia usafiri binafsi alichungulia dirishani na kuwaona makomandoo hao kama sita hivi.

Papo hapo akaamuru dereva kusimamisha gari haraka na kwamba kuna kitu kibaya kimetokea.

Micho alimwita kiongozi mmoja wa Yanga, Abdul Sauko kwa sauti kubwa na kumwambia bila woga hataki kuwaona makomandoo kwenye gari hilo na kuwataka wateremke haraka.

“Sauko...hilo gari ni kwa ajili ya wachezaji, sitaki kuwaona hao wanaoitwa makomandoo...waambie washuke wakapande teksi..hilo gari ni kwa ajili ya wachezaji tu,” alisema kocha huyo kwa hasira akifuta utamaduni wa kizamani wa makomandoo kupanda gari la wachezaji kwenda au kutoka uwanjani.

Baada ya kauli hiyo, makomandoo hao hawakushuka mara moja wakisubiri mazungumzo ya faragha yaliyokuwa yakiendelea pembeni baina ya Sauko na Micho, lakini baada ya kuona Mserbia huyo haelewi somo wakaanza kushuka mmoja baada ya mwingine na kutoka nje ya uwanja ili kupanda daladala.

[QUOTE="vuligate, post: 1167, member: 123"] [HEADING=1]#TBT ZILITRENDI: Micho awatimua makomandoo Yanga[/HEADING] [IMG alt="Micho PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3736776/landscape_ratio16x9/1160/652/bc496828e97d17f075b4e726ff42d643/qg/micho-pic.jpg[/IMG] miaka ya nyuma na leo tunaenda hadi Machi 3, lakini mwaka 2007. Siku hiyo buana iliripotiwa tukio la aliyekuwa Kocha Mkuu Mpya wa Yanga, Sredejovich Milutin ‘Micho’ kuamua kuwatimua makomandoo wa klabu hiyo. Micho anafahamika kwa misimamo yake mikali na siku hiyo, aliwaonyesha jinsi alivyo baada ya bosi huyo wa benchi la ufundi kuamuru makomandoo hao washushwe kwenye basi lililokuwa limewabeba wachezaji. Hali hiyo iliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wa Yanga kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam saa 1 usiku, dakika chache kabla ya basi lililokuwa limebeba wachezaji hao ili kuwapeleka kambini kwenye Hoteli ya Landmark baada ya kumaliza mazoezi yao. Baada ya wachezaji kupanda kwenye basi hilo aina ya Toyota Coaster na kutaka kuondoka, Micho ambaye hutumia usafiri binafsi alichungulia dirishani na kuwaona makomandoo hao kama sita hivi. Papo hapo akaamuru dereva kusimamisha gari haraka na kwamba kuna kitu kibaya kimetokea. Micho alimwita kiongozi mmoja wa Yanga, Abdul Sauko kwa sauti kubwa na kumwambia bila woga hataki kuwaona makomandoo kwenye gari hilo na kuwataka wateremke haraka. “Sauko...hilo gari ni kwa ajili ya wachezaji, sitaki kuwaona hao wanaoitwa makomandoo...waambie washuke wakapande teksi..hilo gari ni kwa ajili ya wachezaji tu,” alisema kocha huyo kwa hasira akifuta utamaduni wa kizamani wa makomandoo kupanda gari la wachezaji kwenda au kutoka uwanjani. Baada ya kauli hiyo, makomandoo hao hawakushuka mara moja wakisubiri mazungumzo ya faragha yaliyokuwa yakiendelea pembeni baina ya Sauko na Micho, lakini baada ya kuona Mserbia huyo haelewi somo wakaanza kushuka mmoja baada ya mwingine na kutoka nje ya uwanja ili kupanda daladala. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom