Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MTU WA MPIRA: Nani alimsajili Fiston Mayele pale Yanga?

KUNA Fiston Mayele mmoja tu mtu anayeifanya kazi ya kufunga kuwa rahisi kama vile kutafuna karanga. Mwanaume wa shoka kweli. Wakati anatua Yanga ilionekana kama ni mchezaji wa kawaida. Wengi walimbeza kutokana na rekodi zake za kawaida pale AS Vita ya DR Congo. Mayele hakuwahi kuwa tishio sana pale DR Congo.

Hata hivyo, tangu ametua Yanga amebadilika na kuwa mchezaji hatari. Anajua kufunga. Ana kasi na utulivu wa kutosha. Ni kiwango hiki cha Mayele kimetufanya tumuone Heritier Makambo kama mchezaji wa kawaida. Mayele anakupa kila kitu ambacho straika halisi anapaswa kutoa. Muda wote ananusa hatari.

Anakwenda na mikimbio ya timu. Anawapa viungo washambuliaji wigo mpana wa kumpasia mpira. Yupo imara kwenye mipira ya juu na chini. Ni mastraika wachache wenye uwezo huo.

Kwa sasa kwenye ligi yetu hakuna kazi ngumu kama kumkaba Mayele. Hata kama hatafunga, basi atawaacha mabeki wa timu pinzani wakiwa hoi.

Utakumbuka namna ambavyo Joash Onyango aliteseka kumkaba wakati wa pambano la watani mwishoni mwa mwaka jana. Onyango alilala hoi kwelikweli siku ile. Nadhani hatamani kukutana na Mayele katika siku za karibuni. Kama kuna lulu kubwa ambayo Yanga imejipatia katika eneo la ushambuliaji msimu huu ni nyota huyo kutoka DR Congo. Kwa bahati nzuri zaidi ni kombinesheni nzuri aliyotengeneza na Saido Ntibazonkiza siku za karibuni. Mayele anazitendea haki pasi za Saido. Anaifanya Yanga kuwa hatari katika eneo la mbele.

[QUOTE="Amir, post: 1191, member: 20"] [HEADING=1]MTU WA MPIRA: Nani alimsajili Fiston Mayele pale Yanga?[/HEADING] [IMG alt="mayele pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3739460/landscape_ratio16x9/1160/652/fe55f2a11c00e4364eb4794cfaf8fb4/Qg/mayele-pic.jpg[/IMG] KUNA Fiston Mayele mmoja tu mtu anayeifanya kazi ya kufunga kuwa rahisi kama vile kutafuna karanga. Mwanaume wa shoka kweli. Wakati anatua Yanga ilionekana kama ni mchezaji wa kawaida. Wengi walimbeza kutokana na rekodi zake za kawaida pale AS Vita ya DR Congo. Mayele hakuwahi kuwa tishio sana pale DR Congo. Hata hivyo, tangu ametua Yanga amebadilika na kuwa mchezaji hatari. Anajua kufunga. Ana kasi na utulivu wa kutosha. Ni kiwango hiki cha Mayele kimetufanya tumuone Heritier Makambo kama mchezaji wa kawaida. Mayele anakupa kila kitu ambacho straika halisi anapaswa kutoa. Muda wote ananusa hatari. Anakwenda na mikimbio ya timu. Anawapa viungo washambuliaji wigo mpana wa kumpasia mpira. Yupo imara kwenye mipira ya juu na chini. Ni mastraika wachache wenye uwezo huo. Kwa sasa kwenye ligi yetu hakuna kazi ngumu kama kumkaba Mayele. Hata kama hatafunga, basi atawaacha mabeki wa timu pinzani wakiwa hoi. Utakumbuka namna ambavyo Joash Onyango aliteseka kumkaba wakati wa pambano la watani mwishoni mwa mwaka jana. Onyango alilala hoi kwelikweli siku ile. Nadhani hatamani kukutana na Mayele katika siku za karibuni. Kama kuna lulu kubwa ambayo Yanga imejipatia katika eneo la ushambuliaji msimu huu ni nyota huyo kutoka DR Congo. Kwa bahati nzuri zaidi ni kombinesheni nzuri aliyotengeneza na Saido Ntibazonkiza siku za karibuni. Mayele anazitendea haki pasi za Saido. Anaifanya Yanga kuwa hatari katika eneo la mbele. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom