Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga yarejea Dar, kituo kinachofuata KMC

TIMU ya Yanga imewasili leo asubuhi saa 3:50 katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere Terminal 2 wakitokea Mwanza.

Yanga jana walicheza na Geita Gold na kushinda 1-0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba.

Baada ya kuwasili Mwananchi Digital lilifanya mazungumzo na kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi na amesema walikuwa na mchezo mgumu licha ya kupata pointi tatu.

Nabi amesema licha ya kupata ushindi mechi yao na Geita Gold haikuwa nyepesi kutokana na wapinzani wao walivyokuwa wamejipanga.

Kocha huyo akizungumzia upande huo huo wa mchezo amesema; ”Walikuwa wanatumia nguvu sana, mchezaji mmoja anafanya faulo mara mbili iwa wachezaji tofauti lakini anapewa kadi ya njano.”

Nabi amesema amewapa mapumziko wachezaji wake kwa siku mbili tatu wakijiandaa na mchezo dhidi ya KMC Machi 16.

[QUOTE="Amir, post: 1194, member: 20"] [HEADING=1]Yanga yarejea Dar, kituo kinachofuata KMC[IMG alt="yanga dar pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3739622/landscape_ratio16x9/1160/652/d398c095e160a757c1fa7de7f30ffb2f/TJ/yanga-dar-pic.jpg[/IMG][/HEADING] TIMU ya Yanga imewasili leo asubuhi saa 3:50 katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere Terminal 2 wakitokea Mwanza. Yanga jana walicheza na Geita Gold na kushinda 1-0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba. Baada ya kuwasili Mwananchi Digital lilifanya mazungumzo na kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi na amesema walikuwa na mchezo mgumu licha ya kupata pointi tatu. Nabi amesema licha ya kupata ushindi mechi yao na Geita Gold haikuwa nyepesi kutokana na wapinzani wao walivyokuwa wamejipanga. Kocha huyo akizungumzia upande huo huo wa mchezo amesema; ”Walikuwa wanatumia nguvu sana, mchezaji mmoja anafanya faulo mara mbili iwa wachezaji tofauti lakini anapewa kadi ya njano.” Nabi amesema amewapa mapumziko wachezaji wake kwa siku mbili tatu wakijiandaa na mchezo dhidi ya KMC Machi 16. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom