Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Zahera: Asikuambie Mtu, Msimu Huu ni Mayele Tu

MKURUGENZI wa Soka la Vijana wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema straika wa timu hiyo, Fiston Mayele, ana kila sababu ya kuwa mfungaji bora msimu huu, labda tu azembee mwenyewe.

Zahera alisema suala la kuwa mfungaji bora kwake lipo kwa asilimia kubwa, kwa sababu amekuwa na uwezo wa kufunga kwenye kila mchezo uliopo mbele yake na kama akishindwa basi itakuwa ni uzembe wake mwenyewe.

Zahera aliliambia Championi Jumatatu kuwa Yanga ina wapishi wengi sana kwa sasa ambao wanaweza kumpikia mabao ya kutosha Mayele na yeye akawa anafunga kirahisi, kwa hiyo ni yeye tu kuweka juhudi kwenye kila mchezo.

“Yanga ina wapishi wengi wa mabao na Mayele naona kabisa ana kila sababu ya kuchukua tuzo hiyo na hata mwenyewe niliwahi kumueleza hivyo.

“Mayele amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza anayecheza zaidi ya dakika 80, kila mechi tena kwenye timu iliyoimarika kuanzia kipa hadi mbele, kazi ni kwake mwenyewe ila hakuna sababu ya kumzuia na kushindwa kufanya hivyo,” alisema Zahera.

Mayele alikuwa na mabao tisa kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold FC, akiwa nyuma kwa bao moja dhidi ya Reliant Lusajo wa Namungo.

[QUOTE="Amir, post: 1206, member: 20"] [HEADING=1]Zahera: Asikuambie Mtu, Msimu Huu ni Mayele Tu[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/PPJaT3QdUXAhd.jpg[/IMG] MKURUGENZI wa Soka la Vijana wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema straika wa timu hiyo, Fiston Mayele, ana kila sababu ya kuwa mfungaji bora msimu huu, labda tu azembee mwenyewe. Zahera alisema suala la kuwa mfungaji bora kwake lipo kwa asilimia kubwa, kwa sababu amekuwa na uwezo wa kufunga kwenye kila mchezo uliopo mbele yake na kama akishindwa basi itakuwa ni uzembe wake mwenyewe. Zahera aliliambia Championi Jumatatu kuwa Yanga ina wapishi wengi sana kwa sasa ambao wanaweza kumpikia mabao ya kutosha Mayele na yeye akawa anafunga kirahisi, kwa hiyo ni yeye tu kuweka juhudi kwenye kila mchezo. “Yanga ina wapishi wengi wa mabao na Mayele naona kabisa ana kila sababu ya kuchukua tuzo hiyo na hata mwenyewe niliwahi kumueleza hivyo. “Mayele amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza anayecheza zaidi ya dakika 80, kila mechi tena kwenye timu iliyoimarika kuanzia kipa hadi mbele, kazi ni kwake mwenyewe ila hakuna sababu ya kumzuia na kushindwa kufanya hivyo,” alisema Zahera. Mayele alikuwa na mabao tisa kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold FC, akiwa nyuma kwa bao moja dhidi ya Reliant Lusajo wa Namungo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom