Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Ataja Mambo Mawili Yanga

ACHANA na mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi, amewaambia wachezaji wake anataka kuona mambo mawili yakifanyika katika kila mchezo watakaoucheza.

Hiyo ni baada ya kuongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 45, wakifuatiwa na mabingwa watetezi, Simba SC wenye 34 kabla ya jana kucheza dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Msimu huu Yanga imepania kuivua ubingwa Simba baada ya kuukosa kwa misimu minne ambapo mara zote Simba wametawala.

Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema jambo la kwanza ambalo analitaka likifanywa na wachezaji wake ni kucheza soka safi la kuvutia lenye mchanganyiko wa pasi nyingi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki.

Nabi alisema jambo la pili ni timu kupata ushindi mnono katika kila mchezo uwe wa ligi au Kombe la Shirikisho la Azam Sports. Aliongeza kuwa, anaamini wachezaji wake watafuata maagizo yake na kufanikisha hayo yote, licha ya kikosi chake kuandamwa na majeruhi wengi.

“Lipo wazi ligi ni ngumu, lakini hiyo isitufanye kupoteza malengo yetu tuliyojiwekea msimu huu ambayo ni kubeba makombe yote.

“Lengo langu la kwanza katika timu kuona inacheza soka safi, lingine kupata ushindi na siyo kujilinda, katika hilo nashukuru nimeanza kuliona.

“Mfano mchezo wetu wa ligi dhidi ya Geita, tulicheza soka safi la kutojilinda ambalo liliwavuruga wapinzani wetu na kufanikiwa kupata matokeo mazuri.

“Tuliwaheshimu Geita lakini sio kwamba wametuzidi baada ya kucheza katika kiwango bora, ubora wao umetokana na sisi kikosi chetu kuwa na majeruhi wengi ambao hivi karibuni wataanza kuonekana baada ya kupata nafuu baadhi yao.

“Kila siku ninaendelea kuwaongezea mbinu wachezaji wangu zitakazotufanya tuendelee kuwa bora na kucheza katika kiwango kizuri zaidi ya sasa wanachokionesha,” alisema Nabi.

[QUOTE="Amir, post: 1215, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Ataja Mambo Mawili Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/nabi-pic-data.jpg[/IMG] ACHANA na mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi, amewaambia wachezaji wake anataka kuona mambo mawili yakifanyika katika kila mchezo watakaoucheza. Hiyo ni baada ya kuongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 45, wakifuatiwa na mabingwa watetezi, Simba SC wenye 34 kabla ya jana kucheza dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Msimu huu Yanga imepania kuivua ubingwa Simba baada ya kuukosa kwa misimu minne ambapo mara zote Simba wametawala. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema jambo la kwanza ambalo analitaka likifanywa na wachezaji wake ni kucheza soka safi la kuvutia lenye mchanganyiko wa pasi nyingi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki. Nabi alisema jambo la pili ni timu kupata ushindi mnono katika kila mchezo uwe wa ligi au Kombe la Shirikisho la Azam Sports. Aliongeza kuwa, anaamini wachezaji wake watafuata maagizo yake na kufanikisha hayo yote, licha ya kikosi chake kuandamwa na majeruhi wengi. “Lipo wazi ligi ni ngumu, lakini hiyo isitufanye kupoteza malengo yetu tuliyojiwekea msimu huu ambayo ni kubeba makombe yote. “Lengo langu la kwanza katika timu kuona inacheza soka safi, lingine kupata ushindi na siyo kujilinda, katika hilo nashukuru nimeanza kuliona. “Mfano mchezo wetu wa ligi dhidi ya Geita, tulicheza soka safi la kutojilinda ambalo liliwavuruga wapinzani wetu na kufanikiwa kupata matokeo mazuri. “Tuliwaheshimu Geita lakini sio kwamba wametuzidi baada ya kucheza katika kiwango bora, ubora wao umetokana na sisi kikosi chetu kuwa na majeruhi wengi ambao hivi karibuni wataanza kuonekana baada ya kupata nafuu baadhi yao. “Kila siku ninaendelea kuwaongezea mbinu wachezaji wangu zitakazotufanya tuendelee kuwa bora na kucheza katika kiwango kizuri zaidi ya sasa wanachokionesha,” alisema Nabi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom