Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Makipa Yanga wamweka mtu kati Manula.

Yanga imeendelea kuweka rekodi nyingine ya ubora ikitoa makipa bora wawili katika makipa ambao lango lao lipo salama.

Katika takwimu ambazo zimetoka Bodi ya Ligi Kuu zinaonyesha kipa wa Yanga Diara Djigui na Aishi Manula wa Simba kwasasa wako katika nafasi moja wakiwa na mechi 9 ambazo hawajaruhusu bao 'clean sheets kwenye mechi 17 ambazo timu zote zimecheza mpaka sasa ligi ilipofikia.

Hata hivyo makipa hao wawili ambao ni chaguo la kwanza katika klabu zao wametofautiana katika idadi ya mabao waliyoruhusu ambapo Manula ameruhusu mabao 5 huku Diara akiruhusu mabao 4.

Nyuma ya makipa hao yupo kipa Aboutwalib Mshery ambaye ni kipa chaguo la pili katika kikosi cha Yanga ambaye ana mechi 8 bila kuruhusu bao.

Katika mechi hizo Mshery amefanikiwa kumaliza mechi tatu bila kuruhusu bao akiwa na jezi ya Yanga huku 5zilizobaki akihama nazo akitokea Mtibwa Sugar.

Kipa huyo kijana alisajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu huu akitokea Mtibwa akija kusaidiana na Diara katika lango la vinara hao wa Ligi.

Nyuma ya makipa hao wapo makipa wa zamani wa Yanga Metacha Mnata ambaye sasa anaichezea Polisi Tanzania na Mussa Mbisa wa Coastal Union aliyewahi kuichezea Yanga ya vijana ambao wote wawili wana mechi 6 kila mmoja bila kuruhusu bao.

[QUOTE="vuligate, post: 1217, member: 123"] [HEADING=1]Makipa Yanga wamweka mtu kati Manula.[/HEADING] [IMG alt="manula pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3480774/800bb17d3f5aaa08e997283462f93153/manula-pic-data.jpg[/IMG] Yanga imeendelea kuweka rekodi nyingine ya ubora ikitoa makipa bora wawili katika makipa ambao lango lao lipo salama. Katika takwimu ambazo zimetoka Bodi ya Ligi Kuu zinaonyesha kipa wa Yanga Diara Djigui na Aishi Manula wa Simba kwasasa wako katika nafasi moja wakiwa na mechi 9 ambazo hawajaruhusu bao 'clean sheets kwenye mechi 17 ambazo timu zote zimecheza mpaka sasa ligi ilipofikia. Hata hivyo makipa hao wawili ambao ni chaguo la kwanza katika klabu zao wametofautiana katika idadi ya mabao waliyoruhusu ambapo Manula ameruhusu mabao 5 huku Diara akiruhusu mabao 4. Nyuma ya makipa hao yupo kipa Aboutwalib Mshery ambaye ni kipa chaguo la pili katika kikosi cha Yanga ambaye ana mechi 8 bila kuruhusu bao. Katika mechi hizo Mshery amefanikiwa kumaliza mechi tatu bila kuruhusu bao akiwa na jezi ya Yanga huku 5zilizobaki akihama nazo akitokea Mtibwa Sugar. Kipa huyo kijana alisajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu huu akitokea Mtibwa akija kusaidiana na Diara katika lango la vinara hao wa Ligi. Nyuma ya makipa hao wapo makipa wa zamani wa Yanga Metacha Mnata ambaye sasa anaichezea Polisi Tanzania na Mussa Mbisa wa Coastal Union aliyewahi kuichezea Yanga ya vijana ambao wote wawili wana mechi 6 kila mmoja bila kuruhusu bao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom