Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga: Sisi Bado Tupo Sana Kileleni

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado upo nafasi ya kwanza na kwa wale ambao wanafikiria kwamba watapoteza kwenye mechi za hivi karibuni hilo walisahau.

Ikiwa imecheza mechi 17 kibindoni imekusanya pointi 45 haijapoteza mchezo hata mmoja zaidi ya kuambulia sare kwenye mechi tatu pekee na moja kati ya sare hizo ni ile iliyopata mbele ya Simba.

Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli alisema kuwa bado wapo nafasi ya kwanza jambo ambalo litawafanya wadumu hapo mpaka ligi itakapokamilika.

“Sisi tupo nafasi ya kwanza na tunazidi kupambana kwa ajili ya mechi zijazo kikubwa ni kuona kwamba tunaendelea pale ambapo tuliishia mzunguko wa kwanza na hilo linawezekana.

“Malengo yetu ni kuona kwamba tunatwaa ubingwa lakini sio kazi nyepesi kwa kuwa kila timu inapambana kuona kwamba inashinda mechi zake hasa inapokutana na sisi ila hilo la ufundi linafanyiwa kazi na benchi la ufundi,” amesema.

Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi zake ni tatu.

[QUOTE="mhariri, post: 1220, member: 122"] [HEADING=1]Yanga: Sisi Bado Tupo Sana Kileleni[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/yanga-mayeleee.jpg[/IMG] UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado upo nafasi ya kwanza na kwa wale ambao wanafikiria kwamba watapoteza kwenye mechi za hivi karibuni hilo walisahau. Ikiwa imecheza mechi 17 kibindoni imekusanya pointi 45 haijapoteza mchezo hata mmoja zaidi ya kuambulia sare kwenye mechi tatu pekee na moja kati ya sare hizo ni ile iliyopata mbele ya Simba. Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli alisema kuwa bado wapo nafasi ya kwanza jambo ambalo litawafanya wadumu hapo mpaka ligi itakapokamilika. “Sisi tupo nafasi ya kwanza na tunazidi kupambana kwa ajili ya mechi zijazo kikubwa ni kuona kwamba tunaendelea pale ambapo tuliishia mzunguko wa kwanza na hilo linawezekana. “Malengo yetu ni kuona kwamba tunatwaa ubingwa lakini sio kazi nyepesi kwa kuwa kila timu inapambana kuona kwamba inashinda mechi zake hasa inapokutana na sisi ila hilo la ufundi linafanyiwa kazi na benchi la ufundi,” amesema. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi zake ni tatu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom