Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA NA SOMALIA 1-1 MECHI YA HISANI CHAMAZI

VIGOGO, Yanga SC wamelazimishwa sare ya 1-1 na timu ya taifa ya Somalia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Comolex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Zakaria alianza kuifungia Somalia dakika ya 18, kabla ya Mkongo Chico Ushindi kuisawazishia Yanga dakika sita baadaye.

Huo ulikuwa mchezo maalum kuchangia taasisi ya Ally Kimara Foundation, kijana anayesumbuliwa na maradhi adimu aliyeanzisha mfuko huo kusaidia watoto wengine wote wnaosumbuliwa na maradhi hayo.

Mapema kabla ya mchezo huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alipiga simu na kuahidi kuchangia Sh. Milioni 15.

[QUOTE="Amir, post: 1237, member: 20"] [HEADING=2]YANGA NA SOMALIA 1-1 MECHI YA HISANI CHAMAZI[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhgO1EgKwfMo5xi2iet9zXYeoNdD7F2IQeomuEBKew2SRw7s-tAna1A-VmoGeYL42wA7jgUTKaNiqc616P9HJ5fZmiUYqe1bJ56jHn-f85doGD2sn-esgjYuBhB43eHrsQOMTdj6d4N7zJXsxl_IvY41Iw3p7xon1227Sr2H3L04W8x32C-aT9ISw9D=w640-h468[/IMG] VIGOGO, Yanga SC wamelazimishwa sare ya 1-1 na timu ya taifa ya Somalia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Comolex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Zakaria alianza kuifungia Somalia dakika ya 18, kabla ya Mkongo Chico Ushindi kuisawazishia Yanga dakika sita baadaye. Huo ulikuwa mchezo maalum kuchangia taasisi ya Ally Kimara Foundation, kijana anayesumbuliwa na maradhi adimu aliyeanzisha mfuko huo kusaidia watoto wengine wote wnaosumbuliwa na maradhi hayo. Mapema kabla ya mchezo huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alipiga simu na kuahidi kuchangia Sh. Milioni 15. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom