Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YAZIMA GWARIDE SUMBAWANGA, PRISONS CHALI

VIGOGO, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hapo jana Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.

Tanzania Prisons iliyokuwa inaongozwa na Kocha Msaidizi na mchezaji wa zamani wa timu hiyo ilitangulia kwa bao la Samson Mbangula kwa kichwa dakika ya 12 akimalizia mpira wa Kona wa Lambert Sabiyanka kutoka upande wa kushoto.

Kiungo Mzanzibari, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akaisawazishia Yanga dakika ya 23 kwa shuti kali baada ya kazi nzuri ya kiungo Mganda, Khalid Aucho ambaye yeye mwenyewe alifunga bao Lila ushindi dakika ya 43 kwa kichwa cha kuchupia mpira chini chini kufuatia krosi ya kiungo Mrundi, Said Ntibazonkiza.

Kwa ushindi huo, Yanga SC inayofundishwa na kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi akisaidiwa na Mrundi, Cedric Kaze inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa sasa na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wamecheza mechi nane.

Hali ni mbaya kwa Tanzania Prisons inayobaki na pointi zake nane za mechi tisa katika nafasi ya 13 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kusalia Ligi Kuu.

[QUOTE="Amir, post: 124, member: 20"] [HEADING=2]YANGA YAZIMA GWARIDE SUMBAWANGA, PRISONS CHALI[/HEADING] VIGOGO, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hapo jana Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa. Tanzania Prisons iliyokuwa inaongozwa na Kocha Msaidizi na mchezaji wa zamani wa timu hiyo ilitangulia kwa bao la Samson Mbangula kwa kichwa dakika ya 12 akimalizia mpira wa Kona wa Lambert Sabiyanka kutoka upande wa kushoto. Kiungo Mzanzibari, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akaisawazishia Yanga dakika ya 23 kwa shuti kali baada ya kazi nzuri ya kiungo Mganda, Khalid Aucho ambaye yeye mwenyewe alifunga bao Lila ushindi dakika ya 43 kwa kichwa cha kuchupia mpira chini chini kufuatia krosi ya kiungo Mrundi, Said Ntibazonkiza. Kwa ushindi huo, Yanga SC inayofundishwa na kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi akisaidiwa na Mrundi, Cedric Kaze inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa sasa na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi tano zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wamecheza mechi nane. Hali ni mbaya kwa Tanzania Prisons inayobaki na pointi zake nane za mechi tisa katika nafasi ya 13 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kusalia Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom