Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayele Aandaliwa Pacha Mpya Yanga

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema anaamini kwamba ipo siku atawaanzisha washambuliaji wake wawili kwenye mechi za ushindani ambao ni Fiston Mayele na Heritier Makambo.

Nyota hao wawili raia wa DR Congo, kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu wakati Yanga ikishuka dimbani mara 17, hawajafanikiwa kucheza pamoja kutokana na mfumo wa mwalimu huyo ambaye anapenda kutumia mshambuliaji mmoja halisia.

Katika mechi zote 17, Mayele amekuwa chaguo la kwanza, huku Makambo akitokea benchi akipishana na Mkongomani mwenzake huyo.

Kwa sasa Mayele amekuwa akicheza sambamba na Saidi Ntibazonkiza kwenye eneo la ushambuliaji na kuonekana pacha yao imeanza kuiva.

Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema: “Unaona kwa sasa ni Mayele anaanza kikosi cha kwanza kwenye mechi zetu, lakini yupo na mshambuliaji mwingine Makambo, hawa wote ni washambambuliaji wazuri na wanatimiza majukumu yao.

“Ipo wazi kwamba kuna siku wote watacheza pamoja kulingana na mchezo utakavyokuwa, ni suala la kusubiri kwani ambacho tunahitaji kwenye mechi zetu zote ni ushindi na si kingine.”

Mchezo ujao kwenye Ligi Kuu Bara, Yanga itacheza dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Machi 19, mwaka huu.

[QUOTE="mhariri, post: 1246, member: 122"] [HEADING=1]Mayele Aandaliwa Pacha Mpya Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/yangasc_275284244_282803377325722_9114847024602308163_n.jpg[/IMG] NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema anaamini kwamba ipo siku atawaanzisha washambuliaji wake wawili kwenye mechi za ushindani ambao ni Fiston Mayele na Heritier Makambo. Nyota hao wawili raia wa DR Congo, kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu wakati Yanga ikishuka dimbani mara 17, hawajafanikiwa kucheza pamoja kutokana na mfumo wa mwalimu huyo ambaye anapenda kutumia mshambuliaji mmoja halisia. Katika mechi zote 17, Mayele amekuwa chaguo la kwanza, huku Makambo akitokea benchi akipishana na Mkongomani mwenzake huyo. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274480447_373713300869546_3870057394497176153_n-1.jpg[/IMG] Kwa sasa Mayele amekuwa akicheza sambamba na Saidi Ntibazonkiza kwenye eneo la ushambuliaji na kuonekana pacha yao imeanza kuiva. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema: “Unaona kwa sasa ni Mayele anaanza kikosi cha kwanza kwenye mechi zetu, lakini yupo na mshambuliaji mwingine Makambo, hawa wote ni washambambuliaji wazuri na wanatimiza majukumu yao. “Ipo wazi kwamba kuna siku wote watacheza pamoja kulingana na mchezo utakavyokuwa, ni suala la kusubiri kwani ambacho tunahitaji kwenye mechi zetu zote ni ushindi na si kingine.” Mchezo ujao kwenye Ligi Kuu Bara, Yanga itacheza dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Machi 19, mwaka huu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom