Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Ataja Siri Tano za Mayele

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mambo muhimu ya Fiston Mayele yanayofanya aweze kuanza moja kwa moja kikosi cha kwanza.

Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu katika mechi 17 ambazo Yanga imecheza ikiwa na pointi 45 kibindoni.

Akizungumza na Championi Jumatano, Nabi alisema kuwa Mayele ana mambo mengi ya muhimu ambayo anayafanya kabla ya mechi na kwenye mechi ikiwa ni pamoja na nidhamu pamoja na juhudi katika mazoezi.

“Mayele ni mchezaji mzuri unaona kwamba anaanza kikosi cha kwanza kwenye mechi nyingi kwa sababu ana nidhamu pia amekuwa akitoa ushirikiano kwa wachezaji pamoja na juhudi mazoezini na hata kwenye mechi pia.

“Akianza kwenye mechi amekuwa akiweza kufunga na wakati mwingine amekuwa akitoa pasi za mabao hivi ni vitu alivyonavyo na kila mchezaji ni muhimu kwenye kikosi hilo kila mmoja analitambua,” alisema Nabi.

Mchezo ujao wa Yanga ni dhidi ya KMC timu ambayo ilikuwa ya kwanza kufungwa na Mayele mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji, Songea.

[QUOTE="mhariri, post: 1272, member: 122"] [HEADING=1]Nabi Ataja Siri Tano za Mayele[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/yangasc_275284244_282803377325722_9114847024602308163_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mambo muhimu ya Fiston Mayele yanayofanya aweze kuanza moja kwa moja kikosi cha kwanza. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu katika mechi 17 ambazo Yanga imecheza ikiwa na pointi 45 kibindoni. Akizungumza na Championi Jumatano, Nabi alisema kuwa Mayele ana mambo mengi ya muhimu ambayo anayafanya kabla ya mechi na kwenye mechi ikiwa ni pamoja na nidhamu pamoja na juhudi katika mazoezi. “Mayele ni mchezaji mzuri unaona kwamba anaanza kikosi cha kwanza kwenye mechi nyingi kwa sababu ana nidhamu pia amekuwa akitoa ushirikiano kwa wachezaji pamoja na juhudi mazoezini na hata kwenye mechi pia. “Akianza kwenye mechi amekuwa akiweza kufunga na wakati mwingine amekuwa akitoa pasi za mabao hivi ni vitu alivyonavyo na kila mchezaji ni muhimu kwenye kikosi hilo kila mmoja analitambua,” alisema Nabi. Mchezo ujao wa Yanga ni dhidi ya KMC timu ambayo ilikuwa ya kwanza kufungwa na Mayele mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom