Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Saido, Moloko Wavuruga Mipango Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kuliboresha eneo la winga ndani ya kikosi chake ambalo limeonekana kuwa na upungufu mkubwa.

Kauli hiyo aliitoa Jumamosi iliyopita mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kumalizika kwa Yanga kushinda 2-0 dhidi ya KMC, uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Yanga hivi sasa inakosa huduma ya viungo washambuliaji, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Jesus Moloko ambao wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha, wakitarajiwa kurejea kabla ya mchezo dhidi ya Azam FC, Aprili 6, mwaka huu.

Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema katika kikosi chake, eneo la winga ambalo hivi sasa linachezwa na Chico Ushindi na Denis Nkane, limeonekana kutotimiza majukumu yake vizuri ya kutengeneza mabao.

Nabi alisema mawinga hao waliocheza dhidi ya KMC, walishindwa kutimiza majukumu yao ya kupiga krosi kwa mshambuliaji, Fiston Mayele.

Aliongeza kuwa, anaamini katika mchezo ujao dhidi ya Azam eneo hilo litacheza vizuri ambalo amepanga kuliboresha mara baada ya timu hiyo kuingia kambini.

“Tulichelewa kuingia mchezoni na wenzetu walitumia udhaifu huo dakika 20 za mwanzo. Bahati haikuwa upande wao la sivyo wangepata si chini ya mabao mawili.

“Lakini umakini mkubwa wa golikipa wetu Diarra (Djigui) na mabeki uliweza kutuokoa kufungwa kipindi cha kwanza ambapo hatukuwa na utulivu mzuri hususani eneo la kiungo na winga.

“Nimeliona tatizo hilo, hivyo nitalifanyia kazi mazoezini mara baada ya timu kuingia kambini kujiandaa na mcheo ujao dhidi ya Azam ambao huenda nikawatumia baadhi ya mawinga niliokuwa ninawatumia akiwemo Saido ambaye amepona majeraha ya goti,” alisema Nabi.

[QUOTE="mhariri, post: 1309, member: 122"] [HEADING=1]Saido, Moloko Wavuruga Mipango Yanga[IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/Ntibaa.jpg[/IMG][/HEADING] K[B]OCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kuliboresha eneo la winga ndani ya kikosi chake ambalo limeonekana kuwa na upungufu mkubwa. [/B] Kauli hiyo aliitoa Jumamosi iliyopita mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kumalizika kwa Yanga kushinda 2-0 dhidi ya KMC, uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Yanga hivi sasa inakosa huduma ya viungo washambuliaji, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Jesus Moloko ambao wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha, wakitarajiwa kurejea kabla ya mchezo dhidi ya Azam FC, Aprili 6, mwaka huu. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema katika kikosi chake, eneo la winga ambalo hivi sasa linachezwa na Chico Ushindi na Denis Nkane, limeonekana kutotimiza majukumu yake vizuri ya kutengeneza mabao. Nabi alisema mawinga hao waliocheza dhidi ya KMC, walishindwa kutimiza majukumu yao ya kupiga krosi kwa mshambuliaji, Fiston Mayele. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/ushindi-pic-data.jpg[/IMG] Aliongeza kuwa, anaamini katika mchezo ujao dhidi ya Azam eneo hilo litacheza vizuri ambalo amepanga kuliboresha mara baada ya timu hiyo kuingia kambini. “Tulichelewa kuingia mchezoni na wenzetu walitumia udhaifu huo dakika 20 za mwanzo. Bahati haikuwa upande wao la sivyo wangepata si chini ya mabao mawili. “Lakini umakini mkubwa wa golikipa wetu Diarra (Djigui) na mabeki uliweza kutuokoa kufungwa kipindi cha kwanza ambapo hatukuwa na utulivu mzuri hususani eneo la kiungo na winga. “Nimeliona tatizo hilo, hivyo nitalifanyia kazi mazoezini mara baada ya timu kuingia kambini kujiandaa na mcheo ujao dhidi ya Azam ambao huenda nikawatumia baadhi ya mawinga niliokuwa ninawatumia akiwemo Saido ambaye amepona majeraha ya goti,” alisema Nabi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom