Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yacouba Rasmi Yanga SC

HABARI njema kwa Wanayanga ni kwamba, mshambuliaji wao, Yacouba Songne muda wowote kuanzia sasa atarejea ndani ya uwanja kuanza kuitumikia timu hiyo mara baada ya kuwa nje kwa kipindi cha takribani miezi mitano akiuguza majeraha ya goti.

Yacouba aliumia katika mchezo dhidi ya Geita Gold Oktoba 2, mwaka jana ambao Yanga waliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Jesus Moloko ambapo yeye alitoa pasi ya bao hilo.

Akizungumza na Spoti Xtra, Daktari wa Yanga, Youssef Amar, alisema Yacouba kwa sasa yupo sawa na kuanzia Aprili 1 ataanza mazoezi.

“Yacouba kwa sasa yupo salama na anaendelea vizuri tofauti na hapo awali ambapo hali ilikuwa mbaya zaidi, kwa sasa tunasubiri mpaka Aprili 1 ndio aanze rasmi mazoezi ya ufiti ambayo ni pamoja na gym.

“Baada ya hapo ataanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa kucheza mechi za ushindani ambazo zitakuwa zimesalia msimu huu, tuna imani ataanza kupatikana mapema sana kwa kuwa maendeleo yake ni mazuri,” alisema daktari huyo.

[QUOTE="mhariri, post: 1331, member: 122"] [HEADING=1]Yacouba Rasmi Yanga SC[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yangasc_273981881_4154637584638908_8217086733076312454_n-1.jpg[/IMG] HABARI njema kwa Wanayanga ni kwamba, mshambuliaji wao, Yacouba Songne muda wowote kuanzia sasa atarejea ndani ya uwanja kuanza kuitumikia timu hiyo mara baada ya kuwa nje kwa kipindi cha takribani miezi mitano akiuguza majeraha ya goti. Yacouba aliumia katika mchezo dhidi ya Geita Gold Oktoba 2, mwaka jana ambao Yanga waliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Jesus Moloko ambapo yeye alitoa pasi ya bao hilo. Akizungumza na Spoti Xtra, Daktari wa Yanga, Youssef Amar, alisema Yacouba kwa sasa yupo sawa na kuanzia Aprili 1 ataanza mazoezi. “Yacouba kwa sasa yupo salama na anaendelea vizuri tofauti na hapo awali ambapo hali ilikuwa mbaya zaidi, kwa sasa tunasubiri mpaka Aprili 1 ndio aanze rasmi mazoezi ya ufiti ambayo ni pamoja na gym. “Baada ya hapo ataanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa kucheza mechi za ushindani ambazo zitakuwa zimesalia msimu huu, tuna imani ataanza kupatikana mapema sana kwa kuwa maendeleo yake ni mazuri,” alisema daktari huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom